Anaomba pesa ya kununua makeup ndyo aje kwangu.

Anaomba pesa ya kununua makeup ndyo aje kwangu.

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Wanawake wa sikuhiz cjui mmekuwaje. Et bila makeup hawez tembea barabarani.
Screenshot_20180322-143248_Instagram.jpg
 
Mwambie huyo. Analalamika kutoa pesa ya make up , what kind of he is?
Jamaaa anachotaka ni mzigo,,hii inaonyesha he is after sex kwa mwanamke wake.

Raha ya mwanamke umkute muda wote ameng'aaa ujuee hata kutembea naye unamshika.mkono ,sio kumwacha nyumaa au yeye atangulie mbele.
 
We mpe bwana tena mpe pesa ya kununua zile makeup za kueleweka zinazoanzia 25,000 na kuendelea mbele ambazo kibobo chake anapaka mwezi mmoja tu kimeisha
 
Yeye mwenyewe huko analalamika ulivyomuomba aje kwako kusex.

Muoneshe kujali akifika ni kuteleza siyo unalalamika tena anachelewa kukojoa
 
Yeye mwenyewe huko analalamika ulivyomuomba aje kwako kusex.

Muoneshe kujali akifika ni kuteleza siyo unalalamika tena anachelewa kukojoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yeye mwenyewe huko analalamika ulivyomuomba aje kwako kusex.

Muoneshe kujali akifika ni kuteleza siyo unalalamika tena anachelewa kukojoa
Hivi mtoa mada kuna sehemu ametaja kusex?? au ni mimi sioni vizuri?
 
Ukimuita binti kwako mnaenda kupiga selfie siyo?
tatizo umekariri kuwa nikikuita ghetto lazima 'nikunjunje' hapana sio hivyo...

sio kila aitwaye nyumbani wanaenda kugegedana

[HASHTAG]#ChangeYourMindset[/HASHTAG]
 
tatizo umekariri kuwa nikikuita ghetto lazima 'nikunjunje' hapana sio hivyo...

sio kila aitwaye nyumbani wanaenda kugegedana

[HASHTAG]#ChangeYourMindset[/HASHTAG]
Mnasemaga ivi ivi lakin akifika mnamkula
 
Back
Top Bottom