Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
huo msemo tuuu[emoji23] [emoji23] simba hajawahi kua na urafiki na swala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo msemo tuuu[emoji23] [emoji23] simba hajawahi kua na urafiki na swala
Siku hizi yakipaka hayo mavitu yao unaweza jiuliza huyu mtu alitoka kuigiza movie ya Nsyuka au drakulaUnajisikiaje mwanamke wako kuja kukuona amejipamba na akapambika kwelikweli???
Hivyo basi ukiona vyaelea ujue vimeundwa.
[emoji15]Ndo maana nakupenda
Kapeace mremboNatural tumekuwa adimu sana mzoee hali tuliyomo
Inaweza kuwa gharama yako ila na wengine wananusa na kushika kwa gharama zako izo izoMkuu hakuna raha kama kumuangalia, kumshika na kum'smell' mwanamke ambaye kila kitu-nywele hadi unyayo-ni gharama yako.