Anaomba tuachane na sio kutengana!

Dah! Pole... Mapenzi Kizungu zungu.... Naomba soma post yako with a fresh eye...
utagundua kua sio wako tena for hakupendi... hio message alotumiwa ni minor saana
kusababisha yee aamue hufai....
Kwa kweli ashadii, mapenzi yanatufanyaga tuwe vipofu
 
Duh pole...ila things happen for a reason so ni kuendelea na maisha na in time utasahau na utapata mwingine
Kweli kabisa, kila kitu kina sababu yake, huwezi jua amekuepushia nini
 
Reactions: F12
Huyu naona ni kipofu kweli, hapo unasubiria nini, fanya maisha usije ukakosa hadithi za kuwasimulia wajukuu, mdada keshapata mwingine bado unauliza ufanye nini?
 
Reactions: F12
achana nae mapema kabisa; huyo mbaya yaana kafikia kupandikiza hata msg hiyo ni feki ili apate sababu; nikuulize weye wamjua mtumaji msg? Usipotezemuda wako hapo tena!
 
Reactions: F12
Kwa kweli msg fake, usikute katumia line ingine kukutumia msg ili tu muachane
 
Kwa kweli msg fake, usikute katumia line ingine kukutumia msg ili tu muachane
Msg alinifoadia kwamba ndio katumiwa na alidai kuwa namba ilotuma sms haifahamu.
 
wengne wote wataongea
ila wewe ndo unajua kama unamuhtaji ama la.
 
achana nae mapema kabisa; huyo mbaya yaana kafikia kupandikiza hata msg hiyo ni feki ili apate sababu; nikuulize weye wamjua mtumaji msg? Usipotezemuda wako hapo tena!
Kiukwel sifahamu aliyeituma ile msg ni nani na yeye pia hahumtambua, nilipomuomba namba ilotuma msg eti kaifuta na ilikua haijasajiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…