SaraM
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 162
- 110
Kwa kweli ashadii, mapenzi yanatufanyaga tuwe vipofuDah! Pole... Mapenzi Kizungu zungu.... Naomba soma post yako with a fresh eye...
utagundua kua sio wako tena for hakupendi... hio message alotumiwa ni minor saana
kusababisha yee aamue hufai....