Anaomba ushauri, achepuke?

Anaomba ushauri, achepuke?

Anonymous member

Nyie majeshi msokuwa na vifaa vya vita salamaleko [emoji3526] nataka kuchepuka... Ipo hivi mume wangu alichepuka mwaka jana nikipata sms nkagundua hilo alifuta bahati mbaya/nzuri nilizipata kwenye ricyclebin baada yakunipa simu yake nitumie, sasa nilichukia sana aliomba msamaha ila kiukweli moyoni sijasamehe kabisa cz hata tukikosana nakumbushia hilo[emoji53]naona hadi niweze kusahau lazima na mimi nchepuke tu ndo roho itatulia, kwasasa yupo kikazi mkoani anajifanya kunipenda sana (Huwa ananipenda)lakini namuona kabisa ana wasiwasi kwa vile hayupo karibu anajua pengine nitakuwa natoka kuzurula hovyo (kawaida Huwa nipo home tu) sasa Kila mda video call anajidai anamsalimia mtoto[emoji57].... Nina Vimeo huko nje vinanitaka sasa nawaza niende tu nkabadilishe jasho huko kidogo[emoji39]huko alipo huyu msaliti atakaa miezi4-5 bila kuonana, haya nishaurini mwanajeshi mwenzenu.
Mkuu kwenye masuala hayo, mshauri wako ni nyoka,nyoka atashauri kama alivyomshauri Eva,mke wa Adamu.
 
Ukichepuka unadhani unamkomoa nani? We chepuka tu **** si yako
 
nadhani watu wa ting wangekutafuta ungewasaidia sana kuongeza mauzo ya king'amuzi chao, umejua kulitendea haki tangazo lako.
 
Anonymous member

Nyie majeshi msokuwa na vifaa vya vita salamaleko [emoji3526] nataka kuchepuka... Ipo hivi mume wangu alichepuka mwaka jana nikipata sms nkagundua hilo alifuta bahati mbaya/nzuri nilizipata kwenye ricyclebin baada yakunipa simu yake nitumie, sasa nilichukia sana aliomba msamaha ila kiukweli moyoni sijasamehe kabisa cz hata tukikosana nakumbushia hilo[emoji53]naona hadi niweze kusahau lazima na mimi nchepuke tu ndo roho itatulia, kwasasa yupo kikazi mkoani anajifanya kunipenda sana (Huwa ananipenda)lakini namuona kabisa ana wasiwasi kwa vile hayupo karibu anajua pengine nitakuwa natoka kuzurula hovyo (kawaida Huwa nipo home tu) sasa Kila mda video call anajidai anamsalimia mtoto[emoji57].... Nina Vimeo huko nje vinanitaka sasa nawaza niende tu nkabadilishe jasho huko kidogo[emoji39]huko alipo huyu msaliti atakaa miezi4-5 bila kuonana, haya nishaurini mwanajeshi mwenzenu.
Njoo mama na mimi nina hasira hivyo hivyo amechepuka na ex wake
 
Ila jua kua ukichepuka na yeye akajua ndo ndoa itakua imeishia hapo.
Kama hukumsamehe ni kheri ungemchana mkaachana kuliko kulipiziana kijinga namna hiyo.
 
Kabla hujaenda, hebu tusomee PH level ya K yako inasoma ngapi! Tutajua cha kukushauri
 
Back
Top Bottom