Anaomba ushauri: Alitembea na mume wa mtu, akamtumia mkewe picha za uchi

Au ukiona ngumu, tafuta wahuni/vibaka wampore huyo mama sim kisha wakuletee uiharibu na itakua poa sana ingawa hii mbinu kidogo ni hatarishi maana ikitokea bahati nzuri wakakamatwa ama kujulikana lazima watakutaja.
Njia ya pili amtafute mshana brother ampe dawa. Akishika simu tu. Apagawe
 
Nilifanya makosa ya kutembea na mume wa mtu, mke wake alijua na tukatukanana sana, huyo mwanaume alinidanganya kuwa atamuacha mke wake lakini baada ya kukaa miaka 7 naye nikaona umri unaenda hamuachi mke wake.

Mwisho nilimua kuachana na huyo mwanaume baada ya kumbebesha ujauzito dada yangu mtoto wa Mama yangu mdogo. Basi tukagombana na kila kitu kikaisha.

Hiyo ilikua ni mwaka juzi 2021 mwanzoni, nilisahau na nikaendelea na maisha yangu.

Lakini shida ni mke wake, pamoja na kuachana na mume wake lakini yeye bado hajaniacha, mwanaume bado ni malaya hivyo kama akifumania meseji huko ni kunitafuta na kunitukana.

Haiishii hapo, kuna mapicha mengi ya uchi na mavideo nilimtumia huyo mwanamke ili kumuumiza kuwa niko na mume wako. Kwa akili zangu za kipindi hicho nilikua naamini kama nikimtumia voideo niko kitandani nafanya mapenzi na mume wake basi ataondoka na kuniachia mwanaume.

Sasa anatumia hizo picha kuniharibia, kila nikipata mwanaume akishaona niko serious anamtafuta na kumwambia "ongea na mchumba wako aachane na mume wangu na kuacha kunitumia mapicha ya uchi"

Kaka mwanaume akishatumiwa picha zangu niko na huyo mzee hata nikijielezeaje hanisikilizi. Nilishapeleka nyumbani wanaume 3 lakini wote wameniacha kwasababu hiyo.

Nimejaribu kuongea na huyo dada, lakini haamini kama nishaachana na mume wake kwani bado mumewe anafanya umalaya, ananiambia kama nilivyomuumiza na kuharibu ndoa yake na mimi nitaumia hivyo hivyo!

Nimechoka na hii hali, naomba msaada wenu, nifanye nini ili huyu mwanamke aachane na maisha yangu.

Nina miaka 34 sasa, mwanaume kanipotezea muda wangu, Napata wanaume wazuri sana tena wananipenda lakini wakishatumiwa mapicha yangu wananiona kama kahaba nisaidieni nifanye nini Wana JF?
Polee sana
 
Kwanza nashangaa kwanini uliamua kutukanana na huyo mke!! Ungeamua kubaki na ustaarabu wako yeye aongeee...Pili kwanini uliona umtumie picha ukiwa na mumewe faragha! Ni wazi hukuwa na nia njema na ndoa yao.Haya nawe umesalitiwa tena ndani ya familia yako!
Basi fanya uhame uishi mbali kabisa na mama huyo ili asijue maisha yako,au tafuta watu anaowaheshimu(mf wazazi wake)fanya taratibu mkae umuangukie akusamehe ukichagiza ule ulikuwa utoto tu na ulimbukeni.
Ila lolest!!
 
Nilifanya makosa ya kutembea na mume wa mtu, mke wake alijua na tukatukanana sana, huyo mwanaume alinidanganya kuwa atamuacha mke wake lakini baada ya kukaa miaka 7 naye nikaona umri unaenda hamuachi mke wake.

Mwisho nilimua kuachana na huyo mwanaume baada ya kumbebesha ujauzito dada yangu mtoto wa Mama yangu mdogo. Basi tukagombana na kila kitu kikaisha.

Hiyo ilikua ni mwaka juzi 2021 mwanzoni, nilisahau na nikaendelea na maisha yangu.

Lakini shida ni mke wake, pamoja na kuachana na mume wake lakini yeye bado hajaniacha, mwanaume bado ni malaya hivyo kama akifumania meseji huko ni kunitafuta na kunitukana.

Haiishii hapo, kuna mapicha mengi ya uchi na mavideo nilimtumia huyo mwanamke ili kumuumiza kuwa niko na mume wako. Kwa akili zangu za kipindi hicho nilikua naamini kama nikimtumia voideo niko kitandani nafanya mapenzi na mume wake basi ataondoka na kuniachia mwanaume.

Sasa anatumia hizo picha kuniharibia, kila nikipata mwanaume akishaona niko serious anamtafuta na kumwambia "ongea na mchumba wako aachane na mume wangu na kuacha kunitumia mapicha ya uchi"

Kaka mwanaume akishatumiwa picha zangu niko na huyo mzee hata nikijielezeaje hanisikilizi. Nilishapeleka nyumbani wanaume 3 lakini wote wameniacha kwasababu hiyo.

Nimejaribu kuongea na huyo dada, lakini haamini kama nishaachana na mume wake kwani bado mumewe anafanya umalaya, ananiambia kama nilivyomuumiza na kuharibu ndoa yake na mimi nitaumia hivyo hivyo!

Nimechoka na hii hali, naomba msaada wenu, nifanye nini ili huyu mwanamke aachane na maisha yangu.

Nina miaka 34 sasa, mwanaume kanipotezea muda wangu, Napata wanaume wazuri sana tena wananipenda lakini wakishatumiwa mapicha yangu wananiona kama kahaba nisaidieni nifanye nini Wana JF?
Hii mbona kama chai yenye mdalasini na tangawizi nyingi.
 
Sasa ipo hivi.....
Sisi wanaume hua hatutoi msamaha wa dhati linapokuja swala la usaliti wenye ushahidi. Hata kama ikitokea nimesema nimekusamehe basi ujue ni kinyume chake labda nimeamua kunyamaza tu kwasababu pengine bado nakupenda, sijapata mbadala, nakutumia ama kwasababu yeyote ile.
Wanaume tumeumbika tofauti kabisa na wanawake ambao hutoa msamaha wa dhati hata kama tumewasaliti, ingawa nyie hua mnasamehe kwadhati lakini mtaliongelea hilo jambo hata pale maisha yenu yanapo koma.
Kwahili lakukushauri ni.....
Tafuta mtu yeyote alie na ukaribu na huyo mama kisha aichukue hiyo sim aidumbukize kwenye maji, then amwambie amlipe nyingine mpya na achukue ile akuletee uiharibu.
Hiyo mbinu inaweza ikakugharimu fedha ndefu lakini itakua imekutibu milele
Kuna demu nilikuwa na uhusiano nae baada ya kumwacha akawa anatumia SMS fulani kwenye simu yake kuniharibia,nikamfanyia umafia kwa kutuma mtu aende ofisini kwake na kuiba simu yake bila ya yeye kujua,ikawa imeisha hiyo.
 
Au ukiona ngumu, tafuta wahuni/vibaka wampore huyo mama sim kisha wakuletee uiharibu na itakua poa sana ingawa hii mbinu kidogo ni hatarishi maana ikitokea bahati nzuri wakakamatwa ama kujulikana lazima watakutaja.
Picha na mavideo yapo kwenye Google drive huko na kwenye clouds hata ukiharibu simu ni kazi bure.

Ukishapiga hayo mapicha ya uchi ni msalaba umejibebesha maana yanaweza kuvuja anytime. Na mara nyingi mwanamke akishakutumia mapicha na mavideo hayo yq uchi jua kuwa hiyo ndiyo tabia yake na wewe siyo wa kwanza...na nyingine anafanya kukufowadia tu maana zilishatumwa kwa mabaharia wengine zipo zinazunguka huko 🚮🚮...na mtandao huwa hausahau kamwe!

Hapo suluhisho pekee ni kwenda tu kuomba msamaha wa dhati kwa huyo mke mwenza na mumewe akiwepo. Ikibidi apitie kwa wazee, viongozi wa dini n.k. lakini hili siyo jambo rahisi tu kama unavyoliweka hapa chifu....

Screenshot_20230906_175325_Chrome.jpg

Kupiga Picha za mtu za uchi Na bila idhini yake, kuzisambaza bila idhini yake Ni kosa la jinai-
Sijui madada wengine huwa akili zao wanazipeleka wapi. Demu alisha nifanyia hivi Na mpaka sasa yuko ananyea debe... Ni ujinga kungangania mme/ mke wa mtu Na akikuacha unafanya self destruct -kusambaza revenge porn... matope matupu kichwani Kwa wadada wa aina yako. Na Kwa kuchapisha humu- vijana wengi watakuogopa hata kukusogelea Kama wakikujua- wataku- pump Na kuku- damp full stop...chuja mambo yako ya faragha Na achana Na revenge porn- itakupa criminal offence ya bule bila mpango... kisa tu kulilia mkunyenge wa mtu...
 
Sasa ipo hivi

Sisi wanaume hua hatutoi msamaha wa dhati linapokuja swala la usaliti wenye ushahidi. Hata kama ikitokea nimesema nimekusamehe basi ujue ni kinyume chake labda nimeamua kunyamaza tu kwasababu pengine bado nakupenda, sijapata mbadala, nakutumia ama kwasababu yeyote ile.

Wanaume tumeumbika tofauti kabisa na wanawake ambao hutoa msamaha wa dhati hata kama tumewasaliti, ingawa nyie hua mnasamehe kwadhati lakini mtaliongelea hilo jambo hata pale maisha yenu yanapo koma.
Kwahili lakukushauri ni.

Tafuta mtu yeyote alie na ukaribu na huyo mama kisha aichukue hiyo sim aidumbukize kwenye maji, then amwambie amlipe nyingine mpya na achukue ile akuletee uiharibu.

Hiyo mbinu inaweza ikakugharimu fedha ndefu lakini itakua imekutibu milele
Bado uko porini nini? Picha ziko kwenye Google siyo simu aki rudisha e-mail yake kila kitu kinarudi.
 
Nilifanya makosa ya kutembea na mume wa mtu, mke wake alijua na tukatukanana sana, huyo mwanaume alinidanganya kuwa atamuacha mke wake lakini baada ya kukaa miaka 7 naye nikaona umri unaenda hamuachi mke wake.

Mwisho nilimua kuachana na huyo mwanaume baada ya kumbebesha ujauzito dada yangu mtoto wa Mama yangu mdogo. Basi tukagombana na kila kitu kikaisha.

Hiyo ilikua ni mwaka juzi 2021 mwanzoni, nilisahau na nikaendelea na maisha yangu.

Lakini shida ni mke wake, pamoja na kuachana na mume wake lakini yeye bado hajaniacha, mwanaume bado ni malaya hivyo kama akifumania meseji huko ni kunitafuta na kunitukana.

Haiishii hapo, kuna mapicha mengi ya uchi na mavideo nilimtumia huyo mwanamke ili kumuumiza kuwa niko na mume wako. Kwa akili zangu za kipindi hicho nilikua naamini kama nikimtumia voideo niko kitandani nafanya mapenzi na mume wake basi ataondoka na kuniachia mwanaume.

Sasa anatumia hizo picha kuniharibia, kila nikipata mwanaume akishaona niko serious anamtafuta na kumwambia "ongea na mchumba wako aachane na mume wangu na kuacha kunitumia mapicha ya uchi"

Kaka mwanaume akishatumiwa picha zangu niko na huyo mzee hata nikijielezeaje hanisikilizi. Nilishapeleka nyumbani wanaume 3 lakini wote wameniacha kwasababu hiyo.

Nimejaribu kuongea na huyo dada, lakini haamini kama nishaachana na mume wake kwani bado mumewe anafanya umalaya, ananiambia kama nilivyomuumiza na kuharibu ndoa yake na mimi nitaumia hivyo hivyo!

Nimechoka na hii hali, naomba msaada wenu, nifanye nini ili huyu mwanamke aachane na maisha yangu.

Nina miaka 34 sasa, mwanaume kanipotezea muda wangu, Napata wanaume wazuri sana tena wananipenda lakini wakishatumiwa mapicha yangu wananiona kama kahaba nisaidieni nifanye nini Wana JF?
Kweli we kichwa maji eti mwanaume kani potezea muda, piiimbii wewe, si ulijua ana mke!!!? ufisi wako kungonya mkono udondoke. Nijibu hili swali ulimuacha kwa sababu muda umeenda au sababu alimpa.mimba, dada yako??????
 
Back
Top Bottom