EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Jamaa anajua kuchota saikolojia ya wadada yule balaaMastori ya Uongo ya idi makengo hatuyataki humu
Njia ya pili amtafute mshana brother ampe dawa. Akishika simu tu. ApagaweAu ukiona ngumu, tafuta wahuni/vibaka wampore huyo mama sim kisha wakuletee uiharibu na itakua poa sana ingawa hii mbinu kidogo ni hatarishi maana ikitokea bahati nzuri wakakamatwa ama kujulikana lazima watakutaja.
Polee sanaNilifanya makosa ya kutembea na mume wa mtu, mke wake alijua na tukatukanana sana, huyo mwanaume alinidanganya kuwa atamuacha mke wake lakini baada ya kukaa miaka 7 naye nikaona umri unaenda hamuachi mke wake.
Mwisho nilimua kuachana na huyo mwanaume baada ya kumbebesha ujauzito dada yangu mtoto wa Mama yangu mdogo. Basi tukagombana na kila kitu kikaisha.
Hiyo ilikua ni mwaka juzi 2021 mwanzoni, nilisahau na nikaendelea na maisha yangu.
Lakini shida ni mke wake, pamoja na kuachana na mume wake lakini yeye bado hajaniacha, mwanaume bado ni malaya hivyo kama akifumania meseji huko ni kunitafuta na kunitukana.
Haiishii hapo, kuna mapicha mengi ya uchi na mavideo nilimtumia huyo mwanamke ili kumuumiza kuwa niko na mume wako. Kwa akili zangu za kipindi hicho nilikua naamini kama nikimtumia voideo niko kitandani nafanya mapenzi na mume wake basi ataondoka na kuniachia mwanaume.
Sasa anatumia hizo picha kuniharibia, kila nikipata mwanaume akishaona niko serious anamtafuta na kumwambia "ongea na mchumba wako aachane na mume wangu na kuacha kunitumia mapicha ya uchi"
Kaka mwanaume akishatumiwa picha zangu niko na huyo mzee hata nikijielezeaje hanisikilizi. Nilishapeleka nyumbani wanaume 3 lakini wote wameniacha kwasababu hiyo.
Nimejaribu kuongea na huyo dada, lakini haamini kama nishaachana na mume wake kwani bado mumewe anafanya umalaya, ananiambia kama nilivyomuumiza na kuharibu ndoa yake na mimi nitaumia hivyo hivyo!
Nimechoka na hii hali, naomba msaada wenu, nifanye nini ili huyu mwanamke aachane na maisha yangu.
Nina miaka 34 sasa, mwanaume kanipotezea muda wangu, Napata wanaume wazuri sana tena wananipenda lakini wakishatumiwa mapicha yangu wananiona kama kahaba nisaidieni nifanye nini Wana JF?
Kwanza nashangaa kwanini uliamua kutukanana na huyo mke!! Ungeamua kubaki na ustaarabu wako yeye aongeee...Pili kwanini uliona umtumie picha ukiwa na mumewe faragha! Ni wazi hukuwa na nia njema na ndoa yao.Haya nawe umesalitiwa tena ndani ya familia yako!Nilifanya makosa ya kutembea na mume wa mtu, mke wake alijua na tukatukanana sana, huyo mwanaume alinidanganya kuwa atamuacha mke wake lakini baada ya kukaa miaka 7 naye nikaona umri unaenda hamuachi mke wake.
Mwisho nilimua kuachana na huyo mwanaume baada ya kumbebesha ujauzito dada yangu mtoto wa Mama yangu mdogo. Basi tukagombana na kila kitu kikaisha.
Hiyo ilikua ni mwaka juzi 2021 mwanzoni, nilisahau na nikaendelea na maisha yangu.
Lakini shida ni mke wake, pamoja na kuachana na mume wake lakini yeye bado hajaniacha, mwanaume bado ni malaya hivyo kama akifumania meseji huko ni kunitafuta na kunitukana.
Haiishii hapo, kuna mapicha mengi ya uchi na mavideo nilimtumia huyo mwanamke ili kumuumiza kuwa niko na mume wako. Kwa akili zangu za kipindi hicho nilikua naamini kama nikimtumia voideo niko kitandani nafanya mapenzi na mume wake basi ataondoka na kuniachia mwanaume.
Sasa anatumia hizo picha kuniharibia, kila nikipata mwanaume akishaona niko serious anamtafuta na kumwambia "ongea na mchumba wako aachane na mume wangu na kuacha kunitumia mapicha ya uchi"
Kaka mwanaume akishatumiwa picha zangu niko na huyo mzee hata nikijielezeaje hanisikilizi. Nilishapeleka nyumbani wanaume 3 lakini wote wameniacha kwasababu hiyo.
Nimejaribu kuongea na huyo dada, lakini haamini kama nishaachana na mume wake kwani bado mumewe anafanya umalaya, ananiambia kama nilivyomuumiza na kuharibu ndoa yake na mimi nitaumia hivyo hivyo!
Nimechoka na hii hali, naomba msaada wenu, nifanye nini ili huyu mwanamke aachane na maisha yangu.
Nina miaka 34 sasa, mwanaume kanipotezea muda wangu, Napata wanaume wazuri sana tena wananipenda lakini wakishatumiwa mapicha yangu wananiona kama kahaba nisaidieni nifanye nini Wana JF?
Hii mbona kama chai yenye mdalasini na tangawizi nyingi.Nilifanya makosa ya kutembea na mume wa mtu, mke wake alijua na tukatukanana sana, huyo mwanaume alinidanganya kuwa atamuacha mke wake lakini baada ya kukaa miaka 7 naye nikaona umri unaenda hamuachi mke wake.
Mwisho nilimua kuachana na huyo mwanaume baada ya kumbebesha ujauzito dada yangu mtoto wa Mama yangu mdogo. Basi tukagombana na kila kitu kikaisha.
Hiyo ilikua ni mwaka juzi 2021 mwanzoni, nilisahau na nikaendelea na maisha yangu.
Lakini shida ni mke wake, pamoja na kuachana na mume wake lakini yeye bado hajaniacha, mwanaume bado ni malaya hivyo kama akifumania meseji huko ni kunitafuta na kunitukana.
Haiishii hapo, kuna mapicha mengi ya uchi na mavideo nilimtumia huyo mwanamke ili kumuumiza kuwa niko na mume wako. Kwa akili zangu za kipindi hicho nilikua naamini kama nikimtumia voideo niko kitandani nafanya mapenzi na mume wake basi ataondoka na kuniachia mwanaume.
Sasa anatumia hizo picha kuniharibia, kila nikipata mwanaume akishaona niko serious anamtafuta na kumwambia "ongea na mchumba wako aachane na mume wangu na kuacha kunitumia mapicha ya uchi"
Kaka mwanaume akishatumiwa picha zangu niko na huyo mzee hata nikijielezeaje hanisikilizi. Nilishapeleka nyumbani wanaume 3 lakini wote wameniacha kwasababu hiyo.
Nimejaribu kuongea na huyo dada, lakini haamini kama nishaachana na mume wake kwani bado mumewe anafanya umalaya, ananiambia kama nilivyomuumiza na kuharibu ndoa yake na mimi nitaumia hivyo hivyo!
Nimechoka na hii hali, naomba msaada wenu, nifanye nini ili huyu mwanamke aachane na maisha yangu.
Nina miaka 34 sasa, mwanaume kanipotezea muda wangu, Napata wanaume wazuri sana tena wananipenda lakini wakishatumiwa mapicha yangu wananiona kama kahaba nisaidieni nifanye nini Wana JF?
Kuna demu nilikuwa na uhusiano nae baada ya kumwacha akawa anatumia SMS fulani kwenye simu yake kuniharibia,nikamfanyia umafia kwa kutuma mtu aende ofisini kwake na kuiba simu yake bila ya yeye kujua,ikawa imeisha hiyo.Sasa ipo hivi.....
Sisi wanaume hua hatutoi msamaha wa dhati linapokuja swala la usaliti wenye ushahidi. Hata kama ikitokea nimesema nimekusamehe basi ujue ni kinyume chake labda nimeamua kunyamaza tu kwasababu pengine bado nakupenda, sijapata mbadala, nakutumia ama kwasababu yeyote ile.
Wanaume tumeumbika tofauti kabisa na wanawake ambao hutoa msamaha wa dhati hata kama tumewasaliti, ingawa nyie hua mnasamehe kwadhati lakini mtaliongelea hilo jambo hata pale maisha yenu yanapo koma.
Kwahili lakukushauri ni.....
Tafuta mtu yeyote alie na ukaribu na huyo mama kisha aichukue hiyo sim aidumbukize kwenye maji, then amwambie amlipe nyingine mpya na achukue ile akuletee uiharibu.
Hiyo mbinu inaweza ikakugharimu fedha ndefu lakini itakua imekutibu milele
Picha na mavideo yapo kwenye Google drive huko na kwenye clouds hata ukiharibu simu ni kazi bure.Au ukiona ngumu, tafuta wahuni/vibaka wampore huyo mama sim kisha wakuletee uiharibu na itakua poa sana ingawa hii mbinu kidogo ni hatarishi maana ikitokea bahati nzuri wakakamatwa ama kujulikana lazima watakutaja.
Hii ni roho ya Uchawi kabisahuyo mwanaume alinidanganya kuwa atamuacha mke wake
NakaziaMrudie mme wake tu hakuna namna
Sio wanakuona wewe ni kahaba kabisa. Apandacho mtu, huvuna.Napata wanaume wazuri sana tena wananipenda lakini wakishatumiwa mapicha yangu wananiona kama kahaba nisaidieni
Bado uko porini nini? Picha ziko kwenye Google siyo simu aki rudisha e-mail yake kila kitu kinarudi.Sasa ipo hivi
Sisi wanaume hua hatutoi msamaha wa dhati linapokuja swala la usaliti wenye ushahidi. Hata kama ikitokea nimesema nimekusamehe basi ujue ni kinyume chake labda nimeamua kunyamaza tu kwasababu pengine bado nakupenda, sijapata mbadala, nakutumia ama kwasababu yeyote ile.
Wanaume tumeumbika tofauti kabisa na wanawake ambao hutoa msamaha wa dhati hata kama tumewasaliti, ingawa nyie hua mnasamehe kwadhati lakini mtaliongelea hilo jambo hata pale maisha yenu yanapo koma.
Kwahili lakukushauri ni.
Tafuta mtu yeyote alie na ukaribu na huyo mama kisha aichukue hiyo sim aidumbukize kwenye maji, then amwambie amlipe nyingine mpya na achukue ile akuletee uiharibu.
Hiyo mbinu inaweza ikakugharimu fedha ndefu lakini itakua imekutibu milele
Kweli we kichwa maji eti mwanaume kani potezea muda, piiimbii wewe, si ulijua ana mke!!!? ufisi wako kungonya mkono udondoke. Nijibu hili swali ulimuacha kwa sababu muda umeenda au sababu alimpa.mimba, dada yako??????Nilifanya makosa ya kutembea na mume wa mtu, mke wake alijua na tukatukanana sana, huyo mwanaume alinidanganya kuwa atamuacha mke wake lakini baada ya kukaa miaka 7 naye nikaona umri unaenda hamuachi mke wake.