Anaomba ushauri: Alitembea na mume wa mtu, akamtumia mkewe picha za uchi

Ukiwa umelowa vilevile ulituma

Jamani ,mwanao akiona itakuwaje
 
Nimenong'onezwa hapa, picha ziko gugo foto.
 
Sema hiyo ya kutupa simu kwenye maji inaweza isizae matunda maana ata back up
 
Niwashauri tu dada zangu (Maana ninyi ndo wahanga wakubwa). Unapo toka na mume wa mtu, jitahidi kumheshimu mkewe. Usifanye hivo kwa maono ya kuvunja ndoa yake uolewe wewe. Matokeo yake daima hayakuwagi mazuri. Sisi wanaume si wepesi sana kuacha wake zetu kama mnavyofikiria.
 
Kuimba kupokezana.... kashika mic sasa hivi, yakupaswa utulie tu
 
Huyo mwanamke ana haki kabisa ya kutukosesha raha , ulivyokuwa unazini na mumewe unaenjoy Kwa raha zako ulifikiri yeye alikuwa anafurahia?? Muosha huoshwq, Yaani hapa Cha kukushauri hakuna , pambana tu ni Hali Yako , utazeeka bila kuolewa Kwa sababu uliiba Mume wa mtu shenzi kabisa
 
Tafuta kibaka amuibie simu,angalia asipigwe moto
 
Bado uko porini nini? Picha ziko kwenye Google siyo simu aki rudisha e-mail yake kila kitu kinarudi.
Kwa akili ya huyo mama nae pia ni mtambo hawezi kwenda such a distance,ni bora simu iibwe mengine yataendelea
 
Malipo hapa hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…