Anaomba ushauri: Dogo anataka kurudi Dar

Kila binadamu ana haki ya kuchagua atakapo labda kama hamna machaguo , kuishi sehemu ambao huipendi hata wiki ni kupoteza mda wako wa furaha .

Hizo sehemu mnaweza kumsema dogo ,hata serikali wanapoweka makao makuu panakuwa na huduma muhimu ila sehemu nyingine wamezitenga.

Nafanya mkoani wa ugenini ila sina furaha bora kukaa home ,kila mtu afanye anavyotaka Sijawahi kutamani mkoa wa nje nilipozaliwa
 
Kama ana ndoto zake ambazo zitatimia akiwa mjini wacha arudi. Mara nyingi roho uwa inakuelekeza cha kufanya ili utoboe. Mtu kapelekwa Lindi Vijijini huko ambako hata mkuu wa Wilaya anapandaga bodaboda njia ikiharibika (niliona jana UTV) sasa mtamng'ang'aniza mtu akae huko si anapotea mazima
 
Kama haji kumtegemea mtu ni sawa, chamsingi akushirikishe changamoto anazopitia mkoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…