Anaomba ushauri: Dogo anataka kurudi Dar

Anaomba ushauri: Dogo anataka kurudi Dar

Kijana anamiss kutembea njiani huku anakula kipande cha tikiti cha sh 200.....arudi tu.
 
View attachment 2941600

Dogo kamaliza chuo tu kapigiwa pande akapata kazi akapangiwa kituo mkoani.

Kanipigia simu anasema anataka kuacha kazi, sababu maisha ya MKOANI hayawezi.

Hivi mtu Kama uyo unamjibu nini ?
Mwambie aache kazi arudi Dar. Yeye si anaona kuwa Dar ni deal muache akambane na hali yake. Yeye ni mtu mzima na huwezi kumlazimisha. Huenda ana kitu au bado hajajifunza maisha.
 
View attachment 2941600

Dogo kamaliza chuo tu kapigiwa pande akapata kazi akapangiwa kituo mkoani.

Kanipigia simu anasema anataka kuacha kazi, sababu maisha ya MKOANI hayawezi.

Hivi mtu Kama uyo unamjibu nini ?
Mwambie aache KAZI halafu asije kukuomba msaada, KAZI zilivyokuwa ngumu hivi, chezea mshahara sio KAZI! Mikoani tulipakimbia kipindi hicho hakuna umeme, maji , barabara , benki nk Sasa hivi mambo yamebadilika karibia Kila kitu kipo huko mikoani Sasa yy anakimbia Nini! Mimi binafsi naplan kurudi mkoani baada ya miaka 5 ijayo
 
View attachment 2941600

Dogo kamaliza chuo tu kapigiwa pande akapata kazi akapangiwa kituo mkoani.

Kanipigia simu anasema anataka kuacha kazi, sababu maisha ya MKOANI hayawezi.

Hivi mtu Kama uyo unamjibu nini ?
Mwambie sawa ili mradi uje na plan ya kuyaweza ya dar ikiwemo plan ya kifedha na kila kitu. Asije akasema ya mkoani hayawezi utadhani ya dar anayaweza kumbe anaishi kwa kuhudumia na watu bila hivyo nayo hayawezi.
 
Madogo walio wengi wa dar akifika mikoani Tena vijiji sijui wanaonaga wapo jela. Hawajui maisha popote
 
As a young generation we need financial freedom leo hii mtu anaweza akatoka mwanza arusha au mkoa wowote mbali na dar es Salam na akasafiri na ndege na akakaa VIP na next day akarudi kazini labda kama ni utoto unamsumbua.
 
Back
Top Bottom