Anaomba ushauri wa kimawazo

Naka boy

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
321
Reaction score
110
Anaomba kufaham dawa ip nzur ya kuweza kukausha kidonda cha Kutahiriliwa kwa haraka ana miaka 28

ametahiliwa jumapili tarehe 04 yeye alipewa dawa za kumeza Croxasilin.na asprin..
 
mtoto wa kaka yangu nilimpa zinc ile ya gnld kuna maduka ya dawa wanauza rejareja na alikauka haraka sana, pia hata mimi nimetumia kukausha haraka mshono wa kujifungua, ni dawa inayokausha kidonda haraka
 
Asante kwa mawazo yako hii ni ya kumeza au.?
 
mtoto wa kaka yangu nilimpa zinc ile ya gnld kuna maduka ya dawa wanauza rejareja na alikauka haraka sana, pia hata mimi nimetumia kukausha haraka mshono wa kujifungua, ni dawa inayokausha kidonda haraka

Naomba unitajie dawa zote ulizotumia kwa mshono wako..itasaidia zaidi
 
zote siwezi kuzijua nyingi ni za hospitalini, ila hizo za gnld aliniletea mama yangu mkubwa na mimi ndiyo nikazijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…