Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoto wa kaka yangu nilimpa zinc ile ya gnld kuna maduka ya dawa wanauza rejareja na alikauka haraka sana, pia hata mimi nimetumia kukausha haraka mshono wa kujifungua, ni dawa inayokausha kidonda haraka

Naomba unitajie dawa zote ulizotumia kwa mshono wako..itasaidia zaidi
ni za kumeza tuuAsante kwa mawazo yako hii ni ya kumeza au.?