Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka?

Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habarini za leo marafiki.

Ndugu zangu mwenzangu ana tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.

Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
1622462817953.png

Habarini za leo marafiki.

Ndugu zangu mwenzangu anatatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.

Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka
 
Wakati anasukwa msusi awe anampaka diclopar jel huwa inasaidia kuondoa muwasho. Pia awe anaosha nywele kabla ya kusuka inapendeza akiosha saluni
 
Si style zote za kusuka achague zinazompa hewa kichwani

Apake anti-dandruff scalp oil kuzuia mba Atumie shampoo pia za kuzuia mba

Usafi uzingatiwe

Walau kila wiki au wk 2/3 aoeshe kichwa
 
Niliona mtaalamu mmoja anashauri awe anaziloweka rasta kwenye vinegar kabla ya kusuka. Alisema kuna component inatumika kuhifadhia rasta ndo husababisha miwasho kwa baadhi ya watu.
 
Awe anajikuna vizuri...

Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Kama mtaweza nendeni kwa mdada insta anaitwa letsgonatural anafundisha namna ya kutunza nywele tena kwa vitu vya asili mtasahau hayo matatizo.
 
Niliona mtaalamu mmoja anashauri awe anaziloweka rasta kwenye vinegar kabla ya kusuka. Alisema kuna component inatumika kuhifadhia rasta ndo husababisha miwasho kwa baadhi ya watu.
You're right niliona sehemu pia ila sasa shughuli. Nawaza uzichovye kwenye vinegar uanike zikauke
 
You're right niliona sehemu pia ila sasa shughuli. Nawaza uzichovye kwenye vinegar uanike zikauke

Eeh zinakauka bila shida, na zinakua nzuri tu au kama unaweza suka aina nyingine ya nywele ni bora kufanya hivyo

Ila cha kukusaidia kwenye routine yako ya nywele make sure unafanya steaming ya kitunguu maji +tangawizi +thoum ni steaming nzuri sana unaweza fanya mara kwa mara mpaka pale utakapoona miwasho imepungua pia zingatia ngozi isiwe kavu muda mwingi
 
Habarini za leo marafiki.

Ndugu zangu mwenzangu anatatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.

Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka

Azingatie hair rotine yake kulingana na hair type yake. Mafuta anayopaka, steaming anazofanya leave in conditioner anazoapply, anazipa nywele unyevu? Je hilo tatizo linatokea akisuka rasta tu? Au nywele yoyote? Kama ni rasta tu bas aache au akisuka asikae nazo sana
 
Eeh zinakauka bila shida, na zinakua nzuri tu au kama unaweza suka aina nyingine ya nywele ni bora kufanya hivyo

Ila cha kukusaidia kwenye routine yako ya nywele make sure unafanya steaming ya kitunguu maji +tangawizi +thoum ni steaming nzuri sana unaweza fanya mara kwa mara mpaka pale utakapoona miwasho imepungua pia zingatia ngozi isiwe kavu muda mwingi
Jamani wanawake tunawapenda kumbe ndo mnahangaika ivo kichwa kinaungwa kama chai?
 
Back
Top Bottom