Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Na yeye pia kasuka rasta.Suluhisho likipatikana nishtue mi mhanga yani kusuka rasta najiskilizia.
Ahsante sanaWakati anasukwa msusi awe anampaka diclopar jel huwa inasaidia kuondoa muwasho. Pia awe anaosha nywele kabla ya kusuka inapendeza akiosha saluni
Ahsante sanaSi style zote za kusuka
achague zinazompa hewa kichwani
apake anti-dandruff scalp oil kuzuia mba
Atumie shampoo pia za kuzuia mba
usafi uzingatiwe
walau kila wiki au wk 2/3 aoeshe kichwa
You're right niliona sehemu pia ila sasa shughuli. Nawaza uzichovye kwenye vinegar uanike zikaukeNiliona mtaalamu mmoja anashauri awe anaziloweka rasta kwenye vinegar kabla ya kusuka. Alisema kuna component inatumika kuhifadhia rasta ndo husababisha miwasho kwa baadhi ya watu.
You're right niliona sehemu pia ila sasa shughuli. Nawaza uzichovye kwenye vinegar uanike zikauke
Habarini za leo marafiki.
Ndugu zangu mwenzangu anatatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka
Jamani wanawake tunawapenda kumbe ndo mnahangaika ivo kichwa kinaungwa kama chai?Eeh zinakauka bila shida, na zinakua nzuri tu au kama unaweza suka aina nyingine ya nywele ni bora kufanya hivyo
Ila cha kukusaidia kwenye routine yako ya nywele make sure unafanya steaming ya kitunguu maji +tangawizi +thoum ni steaming nzuri sana unaweza fanya mara kwa mara mpaka pale utakapoona miwasho imepungua pia zingatia ngozi isiwe kavu muda mwingi
Urembo una gharamaJamani wanawake tunawapenda kumbe ndo mnahangaika ivo kichwa kinaungwa kama chai?