Anapenda ku-date wanawake wenye mimba tuu

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2010
Posts
3,103
Reaction score
798
Wengine mnawezafikiri natania ama ni story ya kupika kama porojo zingine ulizopata kuzisikia, lakini ni ajabu na nikweli. Kaka yangu wa kuzaliwa tumbo moja toka nitoke yaani hii tabia yake ya ku-date na kutembea na wanawake ambao ni wajawazito tena wale wenye tumbo lililochomoza la uzazi inanifanya nijiulize maswali mengi sana hadi naogopa!!.
Yaani yeye akishaona mwanamke ana kitumbo cha mimba basi akili yake yote humruka na atafanya chini hadi juu ili atembee nae. Ameshakuwa na wanawake wajawazito wa aina mbalimbali kwa miaka kadhaa. Nashindwa pia kuwaelewa hawa wanawake nao inakuaje mtu una ujauzito wa mtu mwingine halafu unaenda kutembea na mwanaume mwingine tena wakati tumbo hiloo kubwa? Kibaya zaidi wakishajifungua tu kaka huyu hawataki tena na huingia mitini na kusaka mwingine mwenye kitumbo ya uzazi.
Nimemkanya na tabia yake, kwani it's soooo gross and disgusting lakini yeye anadai havutiwi na wanawake ambao sio wajawazito. Ndugu jamaa na marafiki wa karibu wameshindwa kumbadilisha hii tabia yake chafu! Naombeni msaada tafadhali kwani hii tabia yake ni ya ajabu na ni chafu sana. Dunia hii!!
Nawasilisha.
 
Huyo kaka yako na hao wanawake anaotembea nao wana laana kutoka kwa bibi zao..
 
Katika msafara wa mamba na kenge wapo.......mpe pole zake kakako.
 
Jaribu kumuuliza anachopenda kwa hao mapregna then utaweza kumsaidia! All in all usikate tamaa 2mia mawazo yakinifu toka jamvin kumbadilisha!
 
Huyo kaka yako anajua kuwa mtu akiwa na mimba hawezi kupata mimba ingine.... Hatumii kondom....
Pia wanawake wengi hukimbiwa na bwana zao walio wapa mimba....... Hivyo kaka yako anapenda miserewreko....
Maana anawaingia wajawazito kwa kuwarubuni kuwa atalea mimba na mtoto ndo maana wanamkubali fasta na wakisha jifungua anawakimbia.
 


Mapenzi ni kama mapishi, kila mtu kuna ladha anayoifurahia, so nakuomba ufute hii kauli yako si uchafu; ndicho apendacho yeye na definition ya gross and disgusting as a far as this is concerned it is relative...............kuna watu wanakula majongoo..............YUK!

Disgusting may be to you but to some of us..............wooooooooooooy woy woy woy................wacha tujinome hujui ndugu yangu ukikosacho........mwache bro ajidai, ajinfasi bana wala usituleteee unyanyapaa wako eti Gross and disgusting......................my a.....!
 
Wajawazito hum hum.
 
Ashadii funguka...............hatari iko wapi and which observations should be conducted?
 
Ashadii funguka...............hatari iko wapi and which observations should be conducted?


ha ha ha... Maskini J... leo naona umenikaba kweli....lol...

  1. Akiendekeza kupenda wanawake wajawazito ataishia kumzalisha mkewe ovyo mno - na kama mwanamke atajizuia kupata mimba, tayari itakua ugomvi... na bahati mbaya jamaa hataki watoto anataka tu ile hali ya kusema mwanamke ana mimba....
  2. Akiendekiza saaana kufikiria na kutaka hivo, aweza jikuta siku moja kaelemewa (maana soko la manamke mwenye mimba kujiuza halipo).. mpaka akimkuta me mwenye hali hio aweza hata baka!
  3. Hio hali akiendekeza itamfanya atongoze saana wake za watu.... na unajua MKE WA MTU NI SUMU....
Naamini zinatosha au vipi??
 
Umesomeka AshaDii,

Kumbe ni mpaka pale itakapoangukia kwenye extremism! Anyway mdogo mtu anaexagerate na kukerwa kwake sidhani kama bro ni extreme!
 
Aisee...hii kweli ni noumeerrr.....
 
Mwanamke mwenye mimba ana raha yake bwana,kuna kijoto flani ambacho hutoa burudani murua ni kama mwanamke mwenye homa kidogo ukifanikiwa kuonja utaomba kila baada ya muda apate homa.

Good news hapo red, ngoja nianze kuvizia viwanja vya Amana pale pengine nikaonja hiyo ladha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…