VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 798
Wengine mnawezafikiri natania ama ni story ya kupika kama porojo zingine ulizopata kuzisikia, lakini ni ajabu na nikweli. Kaka yangu wa kuzaliwa tumbo moja toka nitoke yaani hii tabia yake ya ku-date na kutembea na wanawake ambao ni wajawazito tena wale wenye tumbo lililochomoza la uzazi inanifanya nijiulize maswali mengi sana hadi naogopa!!.
Yaani yeye akishaona mwanamke ana kitumbo cha mimba basi akili yake yote humruka na atafanya chini hadi juu ili atembee nae. Ameshakuwa na wanawake wajawazito wa aina mbalimbali kwa miaka kadhaa. Nashindwa pia kuwaelewa hawa wanawake nao inakuaje mtu una ujauzito wa mtu mwingine halafu unaenda kutembea na mwanaume mwingine tena wakati tumbo hiloo kubwa? Kibaya zaidi wakishajifungua tu kaka huyu hawataki tena na huingia mitini na kusaka mwingine mwenye kitumbo ya uzazi.
Nimemkanya na tabia yake, kwani it's soooo gross and disgusting lakini yeye anadai havutiwi na wanawake ambao sio wajawazito. Ndugu jamaa na marafiki wa karibu wameshindwa kumbadilisha hii tabia yake chafu! Naombeni msaada tafadhali kwani hii tabia yake ni ya ajabu na ni chafu sana. Dunia hii!!
Nawasilisha.