Jamani hii ni hatari sana jamaa anaendesha malori ya kwenda Kitwe Zambia kule kwa mgana ambao jana wameichapa simba .sasa huyu jamaa ameoa kule mjini tanga kule muheza katoto kazuri sana .sasa jamaa kasafiri mwezi sasa hvi hajarudi sasa kuna jamaa kafanya kwake anajipigia anavyotaka usiku na mchana jamaa hata kazin haendi.kinachouma zaidi jamaa likienda kuoga linavaa kanga ya huyu mtoto mzuri ambae hajanunua yeye aliyenunua anapata tabu anajua mama watoto yupo kumbe mwenzie anapigwa vibaya sana.aisee inauma sana