Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #61
Mkuu, Ulimwelewa kweli Kongosho?
Muulize main account ipi anayotaka password yake!
kyaiyembe nikimlegezea masharti atanitawala mie nimemshtukia...............
Rutashubanyuma, wacha nimhudumie mkoloni wangu kwanza bana asije akaninyonya mate, hapa. I will come back to you, na utaenjoy, lol. Tkae this less serously again, lol
lemonade you are almost there..........lakini mtihani ni je anataka atembelewe kivipi hata kunifanya nami nipige baragumu? Siyo michuzi kam awengineo wanafikiria ila ni kutembelewa ndicho kilio chake...........[/QUOTE
Mwenzangu hakufai hata chembe....................cha kujiuliza hayo mambo kayapata wapi?............ Hapo si pa kukaa hata kidogo...........whaat?..........yaani anakuja na request nzito kama hiyo we bado unajishauri?
Rutashubanyuma,bombu una lako jambo kila mara waelekea una haraka haraka zisizo na baraka tulia na kauli yako isikike.................
sina haraka mie mtoto wa kike,
Nakwambia nimetulizana kike,
lol, Sina papara na wala sina makeke.
Ngoja nitulie, ili nsikike....kwa msemo wako.
Ushauri wako nimeusikia, kazi nitaufanyia
yapi mengine zaidi jamani, inaelekea ruta keshajitutumua awezavyo, labda binti anataka line ta tiGo! mpe ruta!Labda hajielewi so you need to show are that you care so much by going beyond yale anayojitakia
Usiwe mkali dada, mimi na wewe tumewekwa kwenye boma!lemonade you are almost there..........lakini mtihani ni je anataka atembelewe kivipi hata kunifanya nami nipige baragumu? Siyo michuzi kam awengineo wanafikiria ila ni kutembelewa ndicho kilio chake...........[/QUOTE
Mwenzangu hakufai hata chembe....................cha kujiuliza hayo mambo kayapata wapi?............ Hapo si pa kukaa hata kidogo...........whaat?..........yaani anakuja na request nzito kama hiyo we bado unajishauri?
Ruta aweza kutufumba, yawezekana anatakiwa amtembelee kivilevile ili wapate matunda ya matembezi yao!.
Mkuu jiamini, mtembelee tena haswa ili aone kuwa unajua kutembea haubahatishi! ukifanikiwa kwa hilo atakuheshimu kuwa mtiifu.Kyaiyembe nikimlegezea masharti atanitawala mie nimemshtukia...............
Namwomba anijuze ili nami nimuunge mkono!
Haikuwa kwa ajili yangu lakini ningependa uendelee.....................! nimekuwa shabiki ghafla.Rutashubanyuma,
sina haraka mie mtoto wa kike,
Nakwambia nimetulizana kike,
lol, Sina papara na wala sina makeke.
Ngoja nitulie, ili nsikike....kwa msemo wako.
Ushauri wako nimeusikia, kazi nitaufanyia
Mkuu jiamini, mtembelee tena haswa ili aone kuwa unajua kutembea haubahatishi! ukifanikiwa kwa hilo atakuheshimu kuwa mtiifu.
maana umesema mwenyewe kuwa
"Mengi nimeyafanya kisa kumpendezesha nafsi yake bila zengwe!
Mengi nimeyafanya kisa kumthibitishia ni yeye tu na hana mpinzani!
Mengi nimeyafanya kisa kumvuta naye alainike na kunilegezea masharti!
Mengi nimeyafanya kisa kutafuta uhalali wa kukubalika kwake tu!
Anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake!"
Sasa nina wasiwasi ukishindwa hapo yote uliyofanya itakuwa ZERO.
Chonde "obwato bugwa ahamagoba" usikubali kushindwa!.
Tatizo maneno mengi yasiyo na matendo
Kwake yeye haridhiki na yako maneno
Fanya hima upate tendo
Maneno kwake hutoyaona kamwe
Mr Rocky matendo mengi kafanyiwa lakini nionavyo hajiamini mpaka afanyiwe tendo kubwa kulikoni ya yote yale anadai hapo ndipo atajua ya kuwa sitamwacha......lol
Rutashubanyuma kiini cha tatizo sio kwamba hujafanya
Umefanya mengi ila kuna kimoja hujafanya nacho ni cha muhimu
Yaani wewe unaonekana unazunguka zunguka tuu hujafika anakokutaka
Ndo maana alilia tendo lionekane
hayo mengine ni kama kuweka maji kwenye chakula ukaacha chumvi
Hata uongeze maji na mafuta na nyanya na vitunguu vipi kama hujatia chumvi hujafanya kitu