Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #61
Mkuu, Ulimwelewa kweli Kongosho?
Muulize main account ipi anayotaka password yake!
kyaiyembe nikimlegezea masharti atanitawala mie nimemshtukia...............
Kyaiyembe unaona mbali sana yawezekana sikumwelewa nimechukulia kijuujuu sana......................Kongosho hebu tufafanulie hiyo password ya main account zimekaaje hizo mbona waniacha kwenye mataa.....
Last edited by a moderator: