Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #121
Umenichanganya kidogo.
Ungewezaje kuishi wakati usingezaliwa?. Kwa kuzaliwa kwako nasema ya-RUN dunia
kungekuwa na njia mbadala ya kuzaliwa...........
Ok lakini kwa vile hiyo mbadala haipo basi, hii iliyopo na bahati mbaya inakuhudhi ndiyo ina-Run dunia, lakini poa usijali kuna (tube method) ijaribu.
mwe, nlijaribu kukusoma katikati ya mistari yako Rutashubanyuma. Wacha kumpagawisha Kyaiyembe bana, namtungia kitabu then ntampa, asije akatuharibia huu utamu. Ujue ukisoma mistari yako, humo katikati kuna mahali umetutega flani hivi.
Na inawezekana huyo mpenzi ataka kutambulishwa kwa ulimwengu na viumbe vyote kuwa apendwaa. Nasi tuna mambo jamaniii, ufungue moyo banaa, utajua tuu ataka nini
Rutashubanyuma nilikuwa namwambia Kyaiyembekwani wale watu wa mwanzo walikujaje? na sisi tungekuja hivyohivyo.Kyaiyembe bado hujamwelewa Fixed Point hana shida na purukshani za kitandani hizo hazimpi shida...........shida yake ni mzengwe ya mapenzi na kusumbuana hata baada ya kupeana mali..........lol
Rutashubanyuma nilikuwa namwambia Kyaiyembekwani wale watu wa mwanzo walikujaje? na sisi tungekuja hivyohivyo.
Upendo ungekuwepo wa kindugu tu siyo ule wa kukufanya ukose usingizi kwa kuwazia machungu au maraha
Rutashubanyuma, usiifanye shingo yako kuwa ngumu. Kwa jinsi ya maelezo yako, (labda kama mie sijaielewa hii lugha ya picha) wakijua akitakacho MUPENDHI. mpe basii banaa.hizi ni dalili ya kuwa hata wewe bombu ni mchoyo mbona hunipi maoni yako wanificha vile?
Naona bombu umenielemea ngoja nimvutie pumzi mhusika......waswahili husema mtoto akililia wembe ajikate mwenyeweRutashubanyuma, usiifanye shingo yako kuwa ngumu. Kwa jinsi ya maelezo yako, (labda kama mie sijaielewa hii lugha ya picha) wakijua akitakacho MUPENDHI. mpe basii banaa.
Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe---lol, walisema wahenga
Angalia usije ukamnyima kuifikia point of no return ya mapenzi yako, then akaoneshwa mapenzi hayoo hayooo ambayo wewe utaki kumuonesha, na wanaojua kuonesha na kutoa bila kuombwa...Based on Experience(don't take this seriously) lol