Anapodai ushuhuda wa kupendwa........

Anapodai ushuhuda wa kupendwa........

Ukweli kabisa naenda kununua miwani ili nisije kosea hata erufi moja!.
I'm waiting....................... .......................!

bombu na kwambia Kyaiyembe kateremsha tenzi motomoto na nilchokifurahia alipoongelea asinyimwe tunda vinginevyo somo halieleweki
 
Last edited by a moderator:
Kabisa Purple...mengi kwa vigezo vya ruta...lakini kwa binti anayaona ni machache mnooooo! Chakarika zaidi Mkuu ruta au itakula kwako halafu uanze kulalama jamvini siku hizi hakuna mapenzi ya kweli!!! LOL!...Kumbe bado binti hujamchengua
IVU9K0iq+D87Xv8PJ81qDf07KYgAAAAASUVORK5CYII=
IVU9K0iq+D87Xv8PJ81qDf07KYgAAAAASUVORK5CYII=

BAK kachenguliwa lakini anataka ya ziada.....pia................ndiyo atajua kuwa kweli mie sitabanduka kwake............................lol
 
Last edited by a moderator:
bombu na kwambia Kyaiyembe kateremsha tenzi motomoto na nilchokifurahia alipoongelea asinyimwe tunda vinginevyo somo halieleweki

mwe, nlijaribu kukusoma katikati ya mistari yako Rutashubanyuma. Wacha kumpagawisha Kyaiyembe bana, namtungia kitabu then ntampa, asije akatuharibia huu utamu. Ujue ukisoma mistari yako, humo katikati kuna mahali umetutega flani hivi.

Na inawezekana huyo mpenzi ataka kutambulishwa kwa ulimwengu na viumbe vyote kuwa apendwaa. Nasi tuna mambo jamaniii, ufungue moyo banaa, utajua tuu ataka nini
 
Last edited by a moderator:
Umenichanganya kidogo.
Ungewezaje kuishi wakati usingezaliwa?. Kwa kuzaliwa kwako nasema ya-RUN dunia

Kyaiyembe kama nimemwelewa vizuri Fixed Point nikuwa anajua hata kwanini alizaliwa maana kama ingelikuwa hakuna mahaba pengine dunia ingelikuwa kiza kinene kisichi na bughudha............
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma yabidi sasa uwe mtumwa
Kufanya kile atakacho yeye na ukiambiwa hivyo nenda extra miles kumpendezesha

Mr Rocky huyu mtu wangu wewe humjui maana ananitesa kila wakati huja na jipya mwishowe ataniambia nimlambe kwapa zake.............
 
Last edited by a moderator:
Ok lakini kwa vile hiyo mbadala haipo basi, hii iliyopo na bahati mbaya inakuhudhi ndiyo ina-Run dunia, lakini poa usijali kuna (tube method) ijaribu.

Kyaiyembe bado hujamwelewa Fixed Point hana shida na purukshani za kitandani hizo hazimpi shida...........shida yake ni mzengwe ya mapenzi na kusumbuana hata baada ya kupeana mali..........lol
 
Last edited by a moderator:
mwe, nlijaribu kukusoma katikati ya mistari yako Rutashubanyuma. Wacha kumpagawisha Kyaiyembe bana, namtungia kitabu then ntampa, asije akatuharibia huu utamu. Ujue ukisoma mistari yako, humo katikati kuna mahali umetutega flani hivi.

Na inawezekana huyo mpenzi ataka kutambulishwa kwa ulimwengu na viumbe vyote kuwa apendwaa. Nasi tuna mambo jamaniii, ufungue moyo banaa, utajua tuu ataka nini

bombu anachotaka nakijua fika ila roho yangu inasita naona huo ndiyo mwanzo wa mengineo mengi...............haonyeshi kutosheka hata chembe kila siku hili juzi alinambia nimlambe kwapa zake ....lol
 
Last edited by a moderator:
Kyaiyembe bado hujamwelewa Fixed Point hana shida na purukshani za kitandani hizo hazimpi shida...........shida yake ni mzengwe ya mapenzi na kusumbuana hata baada ya kupeana mali..........lol
Rutashubanyuma nilikuwa namwambia Kyaiyembekwani wale watu wa mwanzo walikujaje? na sisi tungekuja hivyohivyo.
Upendo ungekuwepo wa kindugu tu siyo ule wa kukufanya ukose usingizi kwa kuwazia machungu au maraha
 
Last edited by a moderator:
BAK kachenguliwa lakini anataka ya ziada.....pia................n diyo atajua kuwa kweli mie sitabanduka kwake......................... ...lol

...Shauri yako Mkuu ruta wajanja mjini watakupora binti hahahahaha lol! Mpe zaidi ya yale ayatakayo 🙂🙂

Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma nilikuwa namwambia Kyaiyembekwani wale watu wa mwanzo walikujaje? na sisi tungekuja hivyohivyo.
Upendo ungekuwepo wa kindugu tu siyo ule wa kukufanya ukose usingizi kwa kuwazia machungu au maraha

usichojua Fixed Point ni kuwa hata wewe kuna vidume wengi umewanyanyasa hata wengine bila ya kukusudia yaani wanakuhitaji nawe hata habari huna...........basi wanaishia kumeza fundo la mate wengine hata kukusogelea wanaogopa kumbe pengine njia ipo wazi...................................kwa hiyo it is all life...................yote ni maisha na mateso ni sehemu yake pia......................ikiwa ni pamoja na kuteswa pia
 
Last edited by a moderator:
...Shauri yako Mkuu ruta wajanja mjini watakupora binti hahahahaha lol! Mpe zaidi ya yale ayatakayo
IVU9K0iq+D87Xv8PJ81qDf07KYgAAAAASUVORK5CYII=
IVU9K0iq+D87Xv8PJ81qDf07KYgAAAAASUVORK5CYII=

BAK kama ni kutishia na usalama acha aishie tu......................Mola atanipatia mwingine tena bora kumshinda yule..........lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
hizi ni dalili ya kuwa hata wewe bombu ni mchoyo mbona hunipi maoni yako wanificha vile?
Rutashubanyuma, usiifanye shingo yako kuwa ngumu. Kwa jinsi ya maelezo yako, (labda kama mie sijaielewa hii lugha ya picha) wakijua akitakacho MUPENDHI. mpe basii banaa.

Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe---lol, walisema wahenga
Angalia usije ukamnyima kuifikia point of no return ya mapenzi yako, then akaoneshwa mapenzi hayoo hayooo ambayo wewe utaki kumuonesha, na wanaojua kuonesha na kutoa bila kuombwa...Based on Experience(don't take this seriously) lol
 
Naona bombu umenielemea ngoja nimvutie pumzi mhusika......waswahili husema mtoto akililia wembe ajikate mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom