Anapoingia 'Dogo Janja' kuna ujanjaujanja

Dah! Nimekoshwa na hivyo vina ambavyo kiuhalisia ni majanga! Ghafla nimepitiwa na kivuli cha utambulisho wa msanii wa bongo fleva ajulikanaye kama Dizasta Vina. Siujui muziki wake bali jina linaakisi majanga ndani ya vina vya shairi hili maridhawa.

Lakini mhusika ni dogo wa ukweli au kubwa jinga mwingine anayejizuga?
 
Kuna walamba asali na Kuna wanaolambishwa asali

Kwa wale wagum kuelewa mlambaji ni yule yuko kwenye eneo asali inatoka mfano waziri nk, mrambishwaji ni yule anapata asali kutoka kwa waziri baada ya waziri kuiramba mfano ww hapo mleta mada

Sasa ww unaranbishwa tu kidogo unakuja kuanzisha Uzi kumfurahisha mlambaji


Akiacha kukulambisha unajilaum kwa nyuzi za kuchafua watu ulizozianzisha kumfurahisha mlambishaji

Fita ni kubwa mura....


Anyway acha inyeshe.....
 
Huyo "dogo janja" kwa 10% kwenye viwanda huko "Kilwa Road" Pwani,ni balaa.
Ni tapeli na fisadi mmoja papa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…