Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wizi kwenye bandari TPA πππ.... ungekuwa unatuarifu na Haya pia tungeturahi.
Video yavuja inayodaiwa wafanyakazi wa TPA wakiiba vifaa vya gari. TPA yasema video ina mpango wa kuchafua taswira ya bandari
Wakuu habari Kwanza nampongeza sana Rais wetu kipenzi Rais Magufuli hakika huyu kwetu sisi watanzania ni lulu.mungu amesikia kilio chetu sisi wanyonge kutuletea Magufuli. Kuna video imerekodiwa wafanyakazi wabandari wanafanya wizi wakiiba kwa kufungua matair kwenye magari ya wateja yaliyofika...www.jamiiforums.com
Ni kama uhuru alipokuwa akizindua miradi kabla ya kuingia term ya pili! Sasa anaandamana na RAO kisa hamtaki Ruto!Noma sana, hawa ni mfupa uliomshinda fisi, yaani shtukiza shtukiza zote zile na mpaka leo bado wanapiga hela!!!
Halafu siasa za Tz bana, upande mmoja upo kwenye kampeni za 2020 ilhali upande mwengine wamebanwa wasikusanyike hata watatu.
Ukipatikana umevaa khaki sheeda, ukipatikana umevaa kijani Ni misifa na mapambio πNoma sana, hawa ni mfupa uliomshinda fisi, yaani shtukiza shtukiza zote zile na mpaka leo bado wanapiga hela!!!
Halafu siasa za Tz bana, upande mmoja upo kwenye kampeni za 2020 ilhali upande mwengine wamebanwa wasikusanyike hata watatu.
Kenya Hakuna kuzindua miradi Ni kukaguaπππNi kama uhuru alipokuwa akizindua miradi kabla ya kuingia term ya pili! Sasa anaandamana na RAO kisa hamtaki Ruto!
Mbona hizo pesa kidogo acha tu hao watu wana pesa 1m hawahitaji kupanga....dili zote kubwa wanapiga peke yaoHuo ni mpango tuu walikuwa wameshapanga na mkewe chumbani ..
Haiwezekani amwite alafu aseme na mkewe azitoe hapo hapo
Ukipatikana umevaa khaki sheeda, ukipatikana umevaa kijani Ni misifa na mapambio π
Mbona hizo pesa kidogo acha tu hao watu wana pesa 1m hawahitaji kupanga....dili zote kubwa wanapiga peke yao
Let's comments hapa hata screenshots wacha longolongoWivuuuuuu....Someni comments za wakenya katika hizo video, wote wangependa kuhamia Tanzania. Katika hotuba zote za Magufuli, wakenya wanafuatilia kwa wingi kuliko watanzania, kama ilivyo katika video za Diamond, mwisho mkasema wakenya ndio walio mtangaza Diamond duniani, sasa hivi muda sio mrefu mtasema wakenya ndio wanaomtangaza Magufuli.
Uncle Magu, hawa wakenya ulipochaguliwa walisema ni nguvu za soda utachoka, sasa wanabaki kutafuta visingizio, wewe kanyaga twende, wakenya 80% wanakukubali sana, wanaomba ukimaliza kipindi chako uende ukawanyooshe "Failed state".
Wizi kwenye bandari TPA πππ.... ungekuwa unatuarifu na Haya pia tungeturahi.
Video yavuja inayodaiwa wafanyakazi wa TPA wakiiba vifaa vya gari. TPA yasema video ina mpango wa kuchafua taswira ya bandari
Wakuu habari Kwanza nampongeza sana Rais wetu kipenzi Rais Magufuli hakika huyu kwetu sisi watanzania ni lulu.mungu amesikia kilio chetu sisi wanyonge kutuletea Magufuli. Kuna video imerekodiwa wafanyakazi wabandari wanafanya wizi wakiiba kwa kufungua matair kwenye magari ya wateja yaliyofika...www.jamiiforums.com
Hii taarifa si umeikuta humu? Sasa unataka utaarifiwe na huyo tu sababu ni mmeo au?Wizi kwenye bandari TPA πππ.... ungekuwa unatuarifu na Haya pia tungeturahi.
Video yavuja inayodaiwa wafanyakazi wa TPA wakiiba vifaa vya gari. TPA yasema video ina mpango wa kuchafua taswira ya bandari
Wakuu habari Kwanza nampongeza sana Rais wetu kipenzi Rais Magufuli hakika huyu kwetu sisi watanzania ni lulu.mungu amesikia kilio chetu sisi wanyonge kutuletea Magufuli. Kuna video imerekodiwa wafanyakazi wabandari wanafanya wizi wakiiba kwa kufungua matair kwenye magari ya wateja yaliyofika...www.jamiiforums.com
CCM hoyeee! πππHii taarifa si umeikuta humu? Sasa unataka utaarifiwe na huyo tu sababu ni mmeo au?
Hakuna kitu Kama hicho ngoja nitakupikia a yatakayijiri katika Uzi huo...ukweli umekuuma Babaa.Hakuna vitendo vya wizi Bandarini: TPA yatoa taarifa kwa umma
HAKUNA VITENDO VYA WIZI BANDARINI! MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA TAARIFA KWA UMMA: IJUMAA OKTOBA 11, 2019 DAR ES SALAAM. Mapema leo katika Mitandao ya Kijamii hasa katika Instagram, kumesambaa habari kwa njia ya Video na picha za Mnato zikionyesha tukio la Wizi wa Vifaa vya...www.jamiiforums.com