Anapopita Magufuli hamlali njaa

Weee ni mwanaume kweli!? Unataka unataka mwanaume mwenzako akununulie bando!!!? Halafu unadai!!?
Uombe na ya kutolea.
Mbona inakuwasha na SI wewe umeombwa ama unasikia wivu mwanamke mwenzangu? Wacha umbea shughulika na ya kwako.
 
Nyimbo enzi zile tuliimba "kwekwe shambani mwa nyayo na zilimwe"
Noti ya 1,000 haikuwa imetolewa enzi hizo uchaguzi wa '92, hiyo ya 500 ndio walikuwa wameizindua. Ukipewa hizo noti kadhaa mara kwa mara unapandwa na stimu za KANU hadi unamsaliti jirani, eti sio mwanachama na ni kibaraka wa maadui wa Kenya na eti anamsema vibaya Nyayo. [emoji1] Kuna wajomba zangu walinipeleka kwenye hafla ya chama nikiwa mdogo na kila mara nikipatana nao huwa nawakumbusha kuhusu enzi hizo, ili niwaudhi.
 
I didn't know this, 1k zimetokea 92. Thanks for the info 😃
 
Usimfananishe Magufuli na ukumbafu.
Time will tell.
 
Mtaweweseka sana, Africa nzima wakiwemo 80% ya wakenya wanamkubali. Magufuli is the best African president, hata wewe unalijua na kukubaliana na ukweli huo, wivu ndio unaowasumbua wakati wakenya wengi wanaomba Magufuli ikiwezekana awe rais wa Kenya, wakiongozwa na Gavana Sonko.
 
80% umezitoa kijiweni nn? Kemu ziangalie akili zako..yawezekana umeziacha nyumbani kwnye hifadhi yake
 
Yani vile vile km magufuli kabisa...
Zama zile ukimpinga moi, watu wanakuchukia na kukuita majina ya ajabu km vile majirani wanavyofanya sai..
Mara we sio mzalendo,
 
Umeambiwa uweke screenshots ama hio Ni technology ngumu kwa Danganyika kuitambua?[emoji24][emoji24]
Wakenya mna shida yaani hata kusoma comment YouTube hamna mb !!!!? Kwanini msifungue hizo video kisha mkazizuia zisi play mkaenda moja kwa moja kwenye comment
 
Hawa jamaa wanaishi Kwa slum kibera wanadhiki sasa ona hii aibu !!!! Leo wamejisahau wamefunguka kuwa hawana MB za kutazama YouTube wakati watz tumesahau hata switch za kuzima data kwenye Simu zetu zilipo miaka yote data zipo on
Tatizo hamna uwezo wa kutazama video, mnaogopa "bundle" litakata, umasikini wenu msijaribu kutuambukiza, ninyi ni watu masikini sana, hata kuangalia Youtube ni shida.
 
Kwahiyo magufuli anaporomosha uchumi !!! Wewe jiulize kwanini wazungu wanaogopa kumsema vibaya na mikopo wanambembeleza kampatia licha ya kuwa bana kwenye madini na kukataa mashariti yao mfano kujenga Kwa bwawa la Umeme hadi mkenye mwenzenu MK254 aliwai kuuliza na kuleta Uzi akisema kwanini mabeberu wanamyeyekea magufuli licha ya kuwafanyia ukaidi hao mabeberu
 
Moi ilkua ukimsifia tu unamwagiwa hela, kila kijiji akitua anamwaga hela..
Tulipogutuka miaka 24 imeenda hvo..
Kila siku nawaambia wakenya wasubili mwakani siyo mbali mtaona kama magu anafanya utoto au la. Pale mtakapo wasikia mabeberu wakitoa takwimu za juu kiufanisi kila nyanja Kwa TZ kuanzia utalii wanyamapoli misitu nishati madini Afya rushwa ,matumizi bora ya Pesa za serikali , bandari , vituo vya mabasi ,kilimo nk .mabeberu yataiweka tz no 1 licha ya magufuli kutokuwapigia magoti .mfano tangu magufuli ashike nchi mambo yafuatayo tumeyasahau
1 mlipuko wa kipindupindu kila mwaka hakuna tunausikis Kenya tu
2 ongezeko la wanyama poli limekia kubwa sana tembp wameongezeka sana na wanyama wote Kwa ujumla
3 kukatika Kwa umeme kumepungua Kwa 98%
4 ujambazi na wizi na vikundi vya vijana wa kihuni vimepungua Kwa 90%
5 miladi ya serikali imeongezeka Kwa mara 18
HIVYO WAKENYA SUBILINI MIAKA MIWILI IJAYO SIYO MBALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…