Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #81
Kakupa namba ya nyanya yake ili usimjue! 🤣 🤣Ile namba nimepiga amepokea bibi MZEE sana hajui kuzungumza kiswahili wa kizungu tumeshindwa kuelewana
Nilitaka nikununulie ya Kijani.Kwa kwa kwaaaa
😂🤣😁
Mimi ni mwanaume wa ukweli. Nawanunulia mabinti kama wewe.
Kweli mkubwa yaani kasema (mke wangu unatuchangia ngapi?(mkewe kapewa mike kasema milioni moja.mume akase"ziteo sasa hivi mkabidhi kiranja"mke nae kugeuka tuu naona anatoa zipo kabisa kwenye bahasha na kuhesabu inaonyesha zilikuwa zishapangwa kabisa[emoji2][emoji2]
Let's comments hapa hata screenshots wacha longolongo