Tunguja
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 501
- 406
Ni mwanamke Mchepukaji mliye achana miaka mitatu iliyopita,kila mmoja akaendelea na mahusiano yake mengine.
Siku ya siku unapokea simu yake anakuomba mkutane kwa kwa ajili ya kuzungumza mawili matatu kuhusu hatima ya watoto wenu, Baada ya kwenda kuonana naye anakwambia alichokuitia sio kutaka mrudiane la hasha,hataki kurudiana na wewe pia hataki kuzaa na Wanaume tofauti tofauti, kwakuwa alishazaa watoto wawili na wewe basi anahitaji mtoto wa tatu na wa mwisho na wewe mwenyewe,hatakusumbua kuhusu pesa za matumizi wala kingine chochote,anachotaka yeye ni damu yako tu watoto wake wawe na baba mmoja. Anakwambia kama ni kwenda kupima HIV yuko tayari.
Utafanyaje?