Anasema amechoka kuvumilia, tufanye mapenzi kabla ya ndoa

Mkuu hivi upo sawa kweli? Unakula na kushiba kama hutaki kuchakata utakuwa unachakatwa sio bure!!!!
 
kwa reply za humu ndani inaonesha kabisa hali ikoje katika jamii yetu
 
Sasa wewe unataka kuoa bila kutest? Je Kama hana k utaivunja hiyo ndoa?
 
Mkuu shikilia msimamo wako maana imeandikwa aziniye na mwanamke hana akili.

Ila kwa scenario kama hiyo kwa Mimi ni bora nisiwe na hiyo akili.
 

Mmeisha tofautiana mtazamo so una mawili tu, saliti hiyo misimamo ya sex after marriage mpe tango maisha yaendelee au shikilia msimamo wako ila achana nae. Mwanamke huwa haombi sex kwa pressure, akiomba she means it, ukimkatalia afu eti atavumilia aseee umeumia jamaa.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…