hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Safari Bado , by bonie mwaitege 🤣🤣😁Mwaka wa 2 sasa na binti tuliyekutana miezi miwili tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari Bado , by bonie mwaitege 🤣🤣😁Mwaka wa 2 sasa na binti tuliyekutana miezi miwili tu
Hata mchumbiane miaka 10 mapungufu hayakosekani,na kuachana kupo kama hamtovumilianaSafari Bado , by bonie mwaitege 🤣🤣😁
Afu Mungu alivyo wa ajabu,Nimeishia hapa," Kuna binti nimekuwa nae kwenye mahusiano miezi 3"
Yani unataka akukubalie ndoa huyo binti mwerevu sana, wewe ndo unamatatizo hebu tuachie huyo binti it seems you are so desperate for marriage. Huu Uzi ulioanzisha kafumie nguo
Wiki mbili wenzio wanaweka kitu ndaniMiezi 3 then unataka muoane !? huogopi kuja kupigwa tukio [emoji1787][emoji1787]
akawa kama anaruka hivi,,,kama analeta vikwazo japo sio vya moja kwa moja,,mara anasema kwanza nimtamfutie shughuli yoyote ya kufanya ndo nitamuoa...
😂😂hata mm namshangaa miez 3 serious kabisa afu badae zije nyuzi za mke wangu anachepukaMiezi 3 then unataka muoane !? huogopi kuja kupigwa tukio 🤣🤣