Anasema ananipenda ila hataki kuolewa kwa sasa

Miezi 3 unataka kumuoa?

Ushamjua vizuri?

Ashakujua vizuri?

Na.ungetaka kumuoa ungeenda kujitambulisha kwao na si kutaka kumwamishia kwako!!!
 
Kaa hivyo hivyo kimya,
Yeye mwenyewe anakuskilizia ukumbushie ombi
 
Nimeishia hapa," Kuna binti nimekuwa nae kwenye mahusiano miezi 3"
Yani unataka akukubalie ndoa huyo binti mwerevu sana, wewe ndo unamatatizo hebu tuachie huyo binti it seems you are so desperate for marriage. Huu Uzi ulioanzisha kafumie nguo
Afu Mungu alivyo wa ajabu,
Ukiwa desperate Sana na ndoa, huwez pata wa kumuoa.

Ila ukiwa disminder,
Watang'ania kuolewa mpk kero
 
Huyo hayuko tayari na ndoa..embu usilazimishe.
 
Miezi 3 michache mno kufanya maamuzi makubwa namna hiyo.
 
akawa kama anaruka hivi,,,kama analeta vikwazo japo sio vya moja kwa moja,,mara anasema kwanza nimtamfutie shughuli yoyote ya kufanya ndo nitamuoa...

Hapa ndio utakuwa umefanya a ONE VERY BIG MISTAKE...

Bora usimuoe kuliko kufuata hio condition.

Halafu Kidume kulilia ndoa ni upopoma next level... Unalilia ndoa ili iweje..!??... Unafanya mambo wanayofanya wanawake halafu unakuja kulia lia humu...

We endelea tu......
 
Kashoana unampenda huwezi fanya lolote kwake ndo maana anajiamulia tu, kua na Msimamo Mtoto wa kiume
 
Miezi 3 then unataka muoane !? huogopi kuja kupigwa tukio 🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚hata mm namshangaa miez 3 serious kabisa afu badae zije nyuzi za mke wangu anachepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…