Anasema hanitaki, lakini anaona wivu nikivusha wanawake wengine

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Muuza Kangala nina wakati mgumu sana. Maana huyu mwanamke ananichanganya. Kama miezi mitatu tulizinguana naye. Baada ya kizinguana naye mpaka leo anazingua kunipa puchi.

Mimi nikivusha wanawake anamaindi, kuna siku nilivusha mwanamke ile nataka kuchapa nikasikia anapiga simu. Sasa hivi kila nikileta wanawake lazima awasimulie mashosti zake na kulalama kwa majonzi.
 
Anataka umuombe msamaha ndo akupe, sio utafte pisi zingine
 
Ongeza speed ya kuingiza mademu......na kuzigimua mpaka ajilete mwnyw
 
Shikilia hapohapo mkuu. Yeye anafikiri kukunyima hako kapupuchi kake amekuweza. Endelea kutembezea moto wengine mpaka ajilete mwenyewe
 
We muuza kangala achana na kangala anza kuuza choya hatazingua Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…