Anasema hawezi shoo zangu

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
729
Reaction score
555
Mpenzi wangu analalamika kwamba nafanya mapenzi kwa Muda mrefu kitu ambacho yeye anasema kinamfanya aumie.

Anasema wakat yeye ameshakojoa Vya kutosha ila mm Bado naendelea kupiga show , anasema zaman nilikuwa sipigi shoo ndefu…inafika muda ananishutumu kwamba natumia mkongo.

Ikabidi nimwabie ukweli kwamba natumia vitunguu swaumu na asali…huwa napiga iyo dozi mara Kwa mara kabla ya kifungua kinywa.

Amenifanya nijisikie vibaya sababu lengo langu kwake si kumkomoa.
 
Vibamia na kimoko chali ndo kutwa kujifaragua waonekane shababy, inferiority complex inakusumbua. Huna lolote.

Tafuta pesa na uwage unampa afu uone km atasema hivyo tena.
Mxxxieeeew
 
Vibamia na kimoko chali ndo kutwa kujifaragua waonekane shababy, inferiority complex inakusumbua. Huna lolote.

Tafuta pesa na uwage unampa afu uone km atasema hivyo tena.
Mxxxieeeew

Sawa Kiongoz
 
Vibamia na kimoko chali ndo kutwa kujifaragua waonekane shababy, inferiority complex inakusumbua. Huna lolote.

Tafuta pesa na uwage unampa afu uone km atasema hivyo tena.
Mxxxieeeew
Mau yoyoooo maliguu..!!!
 
Ni ngumu sana taifa kuendelea ikiwa vijana wake, ambao ndiyo nguvu kazi ya Taifa, kuendekeza ngono, na pombe.

-copied somewhere.
Katika makampuni 10 ya kwanza kwa kulipa kodi kubwaaaa hapa Tanzania, za pombe zimoo...!!!
 
Yaani mtoto anaona Baba yupo busy kwenye simu anadhani Baba anaandika Proposal ya Project fulani ili apate Pesa kumbe anaandika USHUZI kama huu JF,hakika Taifa limekuwa na vijana wa hovyo sana
 
Wee huoni unaumwa?? Ebu piga hiyo shoo bila kutumia hayo mavitunguu uone nini kittokea.pole sana ndugu yangu
 
Lugha za kejeli zisitamalaki mahala hapa, jamaa ashauriwe kama anavohitaji, sio mbaya kama tu umeongeza idadi ya views na ukapita kushoto.

Tusipangiane cha kufanya, we kama kwako mida hi ya kuchakalika kachakalike na kuchakaa.

Nawe mtoa mada kama mamiloo anasema hauwezi mchezo ni either kawa mvivu, KAKUCHOKA, ana mtu mwingine anayemtia ... tafuta msaidizi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…