Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 729
- 555
Mpenzi wangu analalamika kwamba nafanya mapenzi kwa Muda mrefu kitu ambacho yeye anasema kinamfanya aumie.
Anasema wakat yeye ameshakojoa Vya kutosha ila mm Bado naendelea kupiga show , anasema zaman nilikuwa sipigi shoo ndefu…inafika muda ananishutumu kwamba natumia mkongo.
Ikabidi nimwabie ukweli kwamba natumia vitunguu swaumu na asali…huwa napiga iyo dozi mara Kwa mara kabla ya kifungua kinywa.
Amenifanya nijisikie vibaya sababu lengo langu kwake si kumkomoa.