Anasema hawezi shoo zangu

Anasema hawezi shoo zangu

Mpenzi wangu Analalamika kwamba nafanya mapenz Kwa Muda mrefu kitu ambacho yeye anasema kinamfanya aumie

Anasema wakat yeye ameshakojoa Vya kutosha ila mm Bado naendelea kupiga show , anasema zaman nilikuwa sipigi shoo ndefu …inafika muda ananishutumu kwamba natumia mkongo

ikabidi nimwabie ukweli kwamba natumia vitunguu swaumu na asali…huwa napiga iyo dozi mara Kwa mara kabla ya kifungua kinywa

Amenifanya nijisikie vibaya sababu lengo langu kwake si kumkomoa
Kwa kifupi ni kwamba keshapata njemba jingine huko nje. Kaa mguu sawa jiandae kisaikolojia.
 
Mpenzi wangu Analalamika kwamba nafanya mapenz Kwa Muda mrefu kitu ambacho yeye anasema kinamfanya aumie

Anasema wakat yeye ameshakojoa Vya kutosha ila mm Bado naendelea kupiga show , anasema zaman nilikuwa sipigi shoo ndefu …inafika muda ananishutumu kwamba natumia mkongo

ikabidi nimwabie ukweli kwamba natumia vitunguu swaumu na asali…huwa napiga iyo dozi mara Kwa mara kabla ya kifungua kinywa

Amenifanya nijisikie vibaya sababu lengo langu kwake si kumkomoa
Aisee...
 
Back
Top Bottom