Anasema mpeane ”break time“ ina-make sense kweli?

Anasema mpeane ”break time“ ina-make sense kweli?

Mfano mwanamke wako anakuambia msiwasiliane kwa muda, anasema mpeane” break time “ ina make sense kweli..????
Anza kumsahau nawewe move on na maisha mengine! Huna nafasi tena hapo.
 
Ifike pahala tujifunze kuachana na habari za mapenzi tujikite kwenye kutafuta hela tu na kufocus kwenye malengo mengine ya kimaisha!

Yani mtu jiwekee malengo makubwa na plans za kibabe za kutoboa kimaisha zitakazo kuchallenge katika utekelezaji wake halafu upuuzi wa kuitwa mapenzi tupa kule!!

Sema sijui kwanini inakuwa ngumu Sana kui tune akili iwe katika mfumo huo!
 
Back
Top Bottom