Carbon 4real
Member
- Mar 8, 2025
- 7
- 10
Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili alilithibitisha kwenye series ya Game Of Thrones baada kucheza scene ya kuuwa familia yake pamoja na kutoa maumbile ya mtu aliyeitwa Theon Greyjoy...
Anaitwa Ramsey Bolton 🔥
View attachment 3266259
View attachment 3266273
Sidhani kama alichukiwa kama huyu kijana King Joffrey hadi baada ya GOT aliamua kuacha kuigiza. Jamaa alichukiwa vibaya mno yani alivaa uhusika kwa asilimia mia.
Hio ni hali ya ajabu sana.. kama una mfahamu Bi mwenda wa kitambo kwenye maigizo ya Kaole sanaa group. Alikua ana act kama mchawi na mnoko kwenye most of her films.. hii ikapelekea jamii kuamini yule mama ni kigagula kweli na ilimletea shida sana kwenye social integration mpaka leo
Umeniwahi,huyu mama alikuwa ni kipaji hasa.Hio ni hali ya ajabu sana.. kama una mfahamu Bi mwenda wa kitambo kwenye maigizo ya Kaole sanaa group. Alikua ana act kama mchawi na mnoko kwenye most of her films.. hii ikapelekea jamii kuamini yule mama ni kigagula kweli na ilimletea shida sana kwenye social integration mpaka leo
Haka katoto kalikuwa kajinga sana kalimdharirisha uncle wake kwa kiwango kisichovumilika kabisa..View attachment 3266273
Sidhani kama alichukiwa kama huyu kijana King Joffrey hadi baada ya GOT aliamua kuacha kuigiza. Jamaa alichukiwa vibaya mno yani alivaa uhusika kwa asilimia mia.
Alionekana kidogo tu kwenye series ya Sex Education mwaka jana mashabiki wa Game Of Thrones wakavamia ile series ili kumchek tu mwamba.View attachment 3266273
Sidhani kama alichukiwa kama huyu kijana King Joffrey hadi baada ya GOT aliamua kuacha kuigiza. Jamaa alichukiwa vibaya mno yani alivaa uhusika kwa asilimia mia.