Anashikilia rekodi ya kuwa muigizaji asiyependwa kwenye ulimwengu wa filam...

Anashikilia rekodi ya kuwa muigizaji asiyependwa kwenye ulimwengu wa filam...

Carbon 4real

Member
Joined
Mar 8, 2025
Posts
7
Reaction score
10
Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili alilithibitisha kwenye series ya Game Of Thrones baada kucheza scene ya kuuwa familia yake pamoja na kutoa maumbile ya mtu aliyeitwa Theon Greyjoy...
Anaitwa Ramsey Bolton 🔥
Ramsay_S06E09_RESZIED_FOR_INFOBOX.jpg
 
Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili alilithibitisha kwenye series ya Game Of Thrones baada kucheza scene ya kuuwa familia yake pamoja na kutoa maumbile ya mtu aliyeitwa Theon Greyjoy...
Anaitwa Ramsey Bolton 🔥
View attachment 3266259
1741672445819.png

Sidhani kama alichukiwa kama huyu kijana King Joffrey hadi baada ya GOT aliamua kuacha kuigiza. Jamaa alichukiwa vibaya mno yani alivaa uhusika kwa asilimia mia.
 
Jack Gleeson (King Joffrey Baratheon)

Huyu mwamba huwa naumia sana carrier yake ya uigizaji kufa mapema sababu ya kufanya kazi yake kwa perfection ya hali ya juu (kuigiza kama mtu katili).
View attachment 3266273
Sidhani kama alichukiwa kama huyu kijana King Joffrey hadi baada ya GOT aliamua kuacha kuigiza. Jamaa alichukiwa vibaya mno yani alivaa uhusika kwa asilimia mia.

Imagine mtu anachukiwa in real life sababu tu ya fictional character aliyoicheza, very sad.
 
Hio ni hali ya ajabu sana.. kama una mfahamu Bi mwenda wa kitambo kwenye maigizo ya Kaole sanaa group. Alikua ana act kama mchawi na mnoko kwenye most of her films.. hii ikapelekea jamii kuamini yule mama ni kigagula kweli na ilimletea shida sana kwenye social integration mpaka leo
Umeniwahi,huyu mama alikuwa ni kipaji hasa.
 
Back
Top Bottom