Anasimulia Mwanachama Wa Simba na Ambae aliwahi kufanya Kazi Kwenye Makampuni Mohammed Dewji

We jamaa mfitini kweli kweli.
 
Mbona unatuimbia mashairi ambayo hayana vina na mizani kafie mbele utopolo
 
Sasa mzungu alikuwa na mkataba na MO au Simba

Acha chuki mzee embu kunywa maji afu urudie kusoma ulicho andika
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
bangi mbaya sana mkuu alikuwa analipwa m 1.5 ikashuka 75 afu hapo 80 hapa kuna walakini maskini hajawahi kumwombea tajiri mema mda mwing anawaza kunyanyaswa hana lingne
πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Mbona unatuimbia mashairi ambayo hayana vina na mizani kafie mbele utopolo
Hata uku kwenye timu yetu CEO ameajiriqa analipwa mamilioni ya pesa ila sisi na hakina Ahmed tunalipwa laki 7 tu!
 
Sipendi kumsema mtu vibaya
Usiamini kila unachokiona mengi ni nguvu ya propaganda
 
Ulipona kuliwa ndogo kweli wewe maana inaonekana dhahiri huna akili
 
Wwe uto kajambe mbele huna lolote na unayoyaongea hayana ukweli hata kidogo. Ninae jamaa yangu ni supervisor hapo METL na anakunja mkwanja mrefu tu! Hajawahi kulalamika kuhusu ishu hizo hata siku moja
Wanaolalamika si wale wenye elimu uchwara mtu kaishia la saba anataka alipwe kama mtu mwenye elimu ya juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sitaki kutoa ushahidi ila hakuna kulazimishwa kula nazi na swala la kuchinja mbuzi ni kawaida alafu mo ni mtu anaetaka ufanye kazi sio kulalamika fanya kazi atimize wajibu wake over.
 
Linguistic : " Nilikuwa nalipwa 800k Kwa Mwezi."

Linguistic : "
Mshahara wangu ulishuka kutoka 1.5m mpaka 750k.

Swali: Ulikuwa unalipwa kiasi gani?
Maskini toka lini akafurahia tajiri kupata? Mwwnyewe kachanganyikiwa hajui alikua analipwa bei ganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Tsh
Kama ulikua huisaidii kampuni ulienda kusubiri kula vipande vya nazi na nyama ya kondoo ni haki yako kutolewa nduki
 
Kwa hiyo hata Simba walivyowasha moto uwanjani SA walikuwa wanaiga matendo ya boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…