Wajua kwa vijana wa hawawezi amini yakuwa wizi katika taasisi za umma hasa ubadhilifu wa Mali za umma ilikuwa ni miongoni mwa maadili ya watumishi wa umma Ili waajiliwe.
Yaaani Kuna kipindi Ili upate ajira serikali I ulitakiwa kusema wazi yakiuwa wewe upo tayari kuwa kibaka ndo unapata ajira.
Ndivyo ninavyoweza sema yakuwa Yale yaliyokemewa na Mwendazake Sasa yanarudi kwa Kasi sana
Inawezekana usielewe kile Nina sema to make stor shot ni hivi
Kuna gari aina ya Landcruser hapo wilaya ya Moshi vijijini imewekwa juu ya jiwe Ili hisiionekane mtaani Ili baadae kigogo mmoja aje ajiuzie ilo gari ebu lutazame.