sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Wajua kwa vijana wa hawawezi amini ya kuwa wizi katika taasisi za umma hasa ubadhilifu wa Mali za umma ilikuwa ni miongoni mwa maadili ya watumishi wa umma Ili waajiriwe.
Yaani kuna kipindi Ili upate ajira serikali I ulitakiwa kusema wazi yakiuwa wewe upo tayari kuwa kibaka ndo unapata ajira.
Ndivyo ninavyoweza sema ya kuwa yale yaliyokemewa na Mwendazake Sasa yanarudi kwa Kasi sana
Inawezekana usielewe kile Nina sema to make stor shot ni hivi
Kuna gari aina ya Landcruiser hapo wilaya ya Moshi vijijini imewekwa juu ya jiwe Ili lisionekane mtaani Ili baadae kigogo mmoja aje ajiuzie hilo gari.