Anasumbuliwa na miguu, nishaurini

Anasumbuliwa na miguu, nishaurini

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
hi..!
Mzee wangu anasumbuliwa sana na miguu,yaani akivaa viatu tu hata masaa 2 akivua basi miguu kuanzia magotini hadi unyayo unaota vitu kama vipele hivi vinawasha,then vile vipele vinakua kama mtu alieungua moto so vinaacha alama kama mtu alieungua moto, naombeni kwa mwenye tiba au ushauri anisaidie,tusha pima pressure iko normal,huwa nawaza labda sababu ya kuendesha baiskeli kwa miaka mingi
 
Pole sana kwa niaba ya Mzee mkuu.
Umeshamcheki kisukari (diabetes)?
 
Back
Top Bottom