Anasumbuliwa sana na Maumivu ya tumbo na miguu


unaelezea kirahisi hivo yaani eti tumbo linauma hausemi...tumbo linauma upande gani,wakati gani?
Ndo maana mnachukiaga tiba za hospitali kama kujieleza kwenye ndo huku mtu unaamua kumuandikia tu mtu vipimo kulingana na uwezo wa kituo chako then unatibu kinachowezekana.
Jifunzeni kwenda hospitali zinazoaminika na sio vituo vya afya na vituo vya vichochoroni!
 
Asante kwa ushauri pia
 
Mkuu ufafanizi wako unamashaka
Tumbo linaweza kuwa na mwaka sasa ila huwa anatibiwa hizo UTI na typhoid likipumzka baada ya muda linarudi tena
Miguu haijavimba
Umri wake kwa sasa yuko between 23-28

Toa ufafanuzi mzuri watu wakusaidie
Kama miguu yake inamuuma kwenye visigino njoo PM
NB nitakusaidia kama mwanajf mwenzangu sitaki posho yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…