Anasumbuliwa sana na Maumivu ya tumbo na miguu

Alphaking2023

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,092
Reaction score
2,123
Wakuu,Nina Dada yangu anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sana huwa akienda kupima anaambiwa kuwa ni UTI na Typhoid basi anapewa dawa anatumia tatzo linarudi vile vile ni zaidi ya Mara tatu kila akienda kupima anapewa majibu hayo hayo sasa juzi hali yake ikawa sio nzuri baada ya kwenda hospital wakampiga x-ray wakasema hakuna tatizo maanana miguu nayo ilikuwa inamuuma kiasi cha kushindwa kutembea,

Wakamfanyia na ultrasound wakagundua kuna uchafu kwenye njia ya uzazi wakampa dawa akanywa kazimaliza lakini bado hali yake Iko vile vile tumbo linamuuma japo sio kama awali ila maumivu ya miguu ndo hayajawahi kuachaNaomba wataalamu humu mnisaidie nimshauri atumie dawa gani hapa naona za asili ndo nitakuwa na Imani nazo maana hospital huko kaanza kuhangaika mda mrefu sana ila hadi saizi hakuna nafuu naomba wale wajuzi wa matumiz ya dawa za asili (mlonge,tangawizi,mwarobaini,swaumu,n.k)

Ila hata kwa madaktari au ambao mmewahi kupata tatzo kama hili inaweza kuwa ni tatzo gani na atumie dawa gani.Nawasilisha kwenu
 
Ningekushauri kwanza ujihadhari. Kwa nini wewe uulizie mambo ya dadako?? Hajui kusoma na kuandika au?? Haya; Dawa yake mbona ndogo sana?? Inaonesha unamyima uhuru wake saana. Mpe ruksa aonje kidogo vijana wa rika lake wamchezeshe sebene. Utashangaa, atabadilika ghafla.
Hivi ulijua kuwa harufu ya mwanaume ni dawa kwa mwanamke?? Mambo haya utamfundishaje dadako?? Mwambie a PM tumfunze. Zaidi ya hapo utajampoteza au asizae kabisaaaaa
 
Dah nimecheka japo kwa huzuni
Hebu kuwa Sirius basi kama hujui dawa wala ushauri wa kumpa mtu ni bora upite tu kuliko kukomenti ki ugwadu ugwadu wako
 
Tatizo lako ni kuwa ulitegemea majibu unayoyataka. Usifanye hivyo. Jibu ni kwamba, hata sisi tunamwonea huruma huyo dadako. Ila, wewe hufai kumwelekeza dawa hiyo.
Nakuhakikishia, dawa yake ni anuse kikwapa cha mvulana/mwanamume atapona usiku huo huo. Ukitaka kutokupata hasara, mwozeshe
 
Una uhakika gani na unachokiongea can you give me scientific proof..?
 
Nakupa experience proof. Mfano; Kuna uhusiano gani kati ya mwezi mpevu na kifafa?? Kuna uhusiano gani kati ya mwezi mchanga na minyoo tumboni?? Hivi vitu ni vitu vipo na vinahusiana sana sana. Amini na usipoamini weka kumbukumbu. Akiolewa tu, shida kwisha. Au, mwambie awe akilalia tu shati lako wewe mwenyewe ila usimwambie ni dawa. Waweza mwambia unajisikia alilalie ili akupe "bahati njema"
 
😀😀 Hilo shati alilalie likiwa chafu au..?
 
Kama atakubali kulilalia likiwa "chafu" sawa ila liwe lina harufu yako utashangaa matokeo
Dah dunia ina mambo mengi sana,Sawa nimekupata mzee nashkur kwa kunipa changamoto ya kulala nayo leo
 
Ningekushauri kwanza ujihadhari. Kwa nini wewe uulizie mambo ya dadako?? Hajui kusoma na kuandika au?? Haya; Dawa yake mbona ndogo sana?? Inaonesha unamyima uhuru wake saana. Mpe ruksa aonje kidogo vijana wa rika lake wamchezeshe sebene. Utashangaa, atabadilika ghafla.
Hivi ulijua kuwa harufu ya mwanaume ni dawa kwa mwanamke?? Mambo haya utamfundishaje dadako?? Mwambie a PM tumfunze. Zaidi ya hapo utajampoteza au asizae kabisaaaaa
Watu wapo serious wewe una waektia!? Uhuni na utoto km huu upeleke fb huko.
Assume huyo mwenye tatizo angekuwa no dada ako au mama yako alafu unaomba msaada unapewa jibu km hilo. Umemkosea sana mkuu badilika
 
Unajua JF ya sikuizi sio Kama ya zamani hapa watu zamani walikuwa wanatambua post za jokes na za Sirius issues ila sikuizi mtu haangalia Uzi uumeanzishwa jukwaa lipi yeye ana comment as if ni jukwaa la jokes hii inakera sana hasa kama mtu una issue ya Sirius af anakuja mtu na comments za ajabu ajabu
 
Nadhani huyu Leo hajaenda shule kwa sababu ya mapumziko, lakini pia zamani wenye simu za maana wa kuweza kuingia humu JF walikuwa pia watu wa maana. Ila sikuhizi hata watoto wa chekechea nao hupewa smart phone ndio madhara take haya. Ila tuwavumilie huku tukiwaambia ukweli wao.
 
Watu wapo serious wewe una waektia!? Uhuni na utoto km huu upeleke fb huko.
Assume huyo mwenye tatizo angekuwa no dada ako au mama yako alafu unaomba msaada unapewa jibu km hilo. Umemkosea sana mkuu badilika

Kati yangu mimi na weye ni nani mtoto wa kupelekwa fb?? Natoa ushauri mzuri wewe unaona ni utoto wa fb?? Kweli tembea uone. Yaani hata wewe unajiona mtaalam??
 
Ahsante kwa ushauri wako mzuri, ila nahisi upo pia ktk lile kundi la waganga wapiga ramli chonganishi.
 
Mkuu Hebu Nijibu Haya Maswali Kidogo Naweza Kukupa Mwanga!
Ila Mpaka Hapo Possible Atakuwa Na Pyelonephritis.

1.Tumbo Lina Muda Gan?
2. Miguu Imevimba
3. Ana Miaka Mingap?
4. Anapata Siku Zake Vizur Na Sahihi?
4. Kuna Dawa Zozote Anatumia Au Alitumia Kwa Muda Mrefu??
 
Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi. "Ramli chonganishi!" Miye kweli?? Nimemchonganisha nani hapa jaman?? Si uijaribu tu hiyo dawa niliyokuambia ujue itakusaidia au la?? Ungenielewaje kama ningemuuliza anakokaa halafu nimwambie aje kwangu nina dawa?? Halafu akifika tu nikamvika shati langu na kumwambia akalale hadi asubuhi na uponyaji ukampata. Huyo kakake ningelimwambia anipe ng'ombe 2 si angelitoa?? Acha kuwatukana watu, au jifunze kwanza lugha ndo uitumie.
 
Mkuu Hebu Nijibu Haya Maswali Kidogo Naweza Kukupa Mwanga!
Ila Mpaka Hapo Possible Atakuwa Na Pyelonephritis.

1.Tumbo Lina Muda Gan?
2. Miguu Imevimba
3. Ana Miaka Mingap?
4. Anapata Siku Zake Vizur Na Sahihi?
4. Kuna Dawa Zozote Anatumia Au Alitumia Kwa Muda Mrefu??
Tumbo linaweza kuwa na mwaka sasa ila huwa anatibiwa hizo UTI na typhoid likipumzka baada ya muda linarudi tena
Miguu haijavimba
Umri wake kwa sasa yuko between 23-28
 
Hakuna dawa alizotumia zaid ya hizo nilizosema hapo juu za typhoid na UTI
Kuhusu hedhi sijafaham
 
Back
Top Bottom