Anatafuta kazi ya udereva popote

Anatafuta kazi ya udereva popote

Kwa aina hii ya Tangazo kijana atasugua sana bench, Umeelezea juu juu tuu, Umesema anataka kazi ya udereva lakini haujatuambia
1)qualification ya kijana, jee ana cheti cha veta,
2)driving licence na hiyo licence ina madaraja mangapi,
3)Haujaweka mawasiliano

Hebu weka hizo info nuhimu kwenye hilo tangazo lako ,tuje kulisoma tena upya
 
Kwa aina hii ya Tangazo kijana atasugua sana bench, Umeelezea juu juu tuu, Umesema anataka kazi ya udereva lakini haujatuambia
1)qualification ya kijana, jee ana cheti cha veta,
2)driving licence na hiyo licence ina madaraja mangapi,
3)Haujaweka mawasiliano

Hebu weka hizo info nuhimu kwenye hilo tangazo lako ,tuje kulisoma tena upya
Anavyo vyote mkuu kama una nafasi nikuunganishe na kijana mkuu
 
KAZIYA DEREVA UTAIWEZA HII HAPA

Idadi ya WATOTO WA VIONGOZI (MAWAZILI). ANTHONY MAVUNDE (2), ASHATU KACHWAMBA KIJAJI (2), JERRY SILAA (1), INNOCENT LUGHA BASHUNGWA (4). - FUATILIA KIONGOZI (WAZIRI) ASIYE NA MKE/WATOTO KUPITIA HOTUBA ZAO ZA MWAKA 2024/25 AKUPE KAZI.



Aksante mheshimiwa siku hizi ndio mbinu zetu za kuanzisha scip za muvi ya Mjamaa

Mjamaa hajui kuongea

Mjamaa haeleweki

Mjamaa hana mwanamke

Mjamaa hamiliki kitu

Mjamaa anaomgea sana

Mjamaa hana time

Mjamaa hana Nyumba

Mjamaa anajenga Gorofa

Mjamaa anakunywa sana Bia

Mjamaa hajui kazi

Mjamaa ni kazi

Mjamaa hana umeme

Mjamaa ni mwembamba

Mjamaa kaezeka kwa Bati

Mjamaa ni mvamizi wa viwanja

Mjamaa hana Bar

Mjamaa hadhamini kazi

Mjamaa hana mapenzi

Mjamaa halei mtoto

Mjamaa hana Akili

Mjamaa hajui kuendesha Gari

Mjamaa hana Gari

Mjamaa hajielewi

Wimbo mzuri huu 2025 nitaingia Bungeni kwa kupitia Nyimbo na Umaarufu wa JF������������

Mjamaa ana Ndugu

Mjamaa hana kesi

Mjamaa kabambikiwa kesi ya Undugu

Mjamaa haudhulii mazishi

Mjamaa hana Gereji

Mjamaa hafuatilii

Mjamaa Hajui Utaratibu

Mjamaa hajui viongozi


Mjamaa kaachana na mkewe

Mjamaa hafuatilii mafundisho ya dini

Mjamaa anapenda sana kula nyama

Mjamaa tumtafutie kazi nyingine ya kufanya hii kafanikiwa

Mjamaa hatakiwi kusoma

Mjamaa kampuni yale feki

Mjamaa kabila lake ni UKanda

Mjamaa anatakiwa kujitoa mhanga

Mjamaa hana macho

Mjamaa ukimwelekeza haelewi

Mjamaa hana familia

Mjamaa kaoa kabila lingine kaacha mademu wa kabila lake

Mjamaa kaja kutoa hela kwa wakala

Mjamaa kaja kununua mboga mboja sokoni

Mjamaa kaingia kilabuni kunywa supu

Mjamaa tumchunguze atatuletea matatizo

Kajamaa harusi yake sikuhudhuria

Kajamaa kanatokea kijijini sana

Kajamaa haka kanajidai kanajua

Haka kajamaa hakajui dunia

Haka kajamaa HAkataki kuwaachia kazi waliosoma

Haka kajamaa Hakataki kuwaachia kazi watu wanaojua kuongea

Kajamaa kalizaliwa na mwanamke

Kajamaa kalidhani kana hela

Kajamaa kanahangaika

Mjamaa Baba yake Aliuwawa

Mjamaa mama yake namjua

Mjamaa hana Wimbo hata mmoja

Kajamaa hakajawahi kuimba

Mjamaa yule hana rafiki wa jinsia tofauti

Mjamaa mke wake mzuri sana

Mjamaa mkulima sana

Mjamaa mfugaji sana


Kajamaa kanavua sana samaki

Mjamaa hana kazi.. Kuna mjamaaa mmoja ana Kazi hataki kabisa kuingiza hiyoooo GDP������������


Mjamaa hajui kutafuta mitaji������

Maana ni kazi ya yule Mjamaaaaa
Aiss...umenivuruga hats sijaelewa...ngoja wenye A waje
 
Back
Top Bottom