Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Siwezi kuacha asili ya watanzania..Mkuu kwa ushauri tuu acha kwanza kulalamika
Unapata kazi lakini tabia yako ya kuanza kulalamika kuwa mshahara hautoshi ndo unapofeliSiwezi kuacha asili ya watanzania..
Kulalamika tu
Vitendo aaah
Yeye sio mlalamikajiUnapata kazi lakini tabia yako ya kuanza kulalamika kuwa mshahara hautoshi ndo unapofeli
Anavyo vyote mkuu kama una nafasi nikuunganishe na kijana mkuuKwa aina hii ya Tangazo kijana atasugua sana bench, Umeelezea juu juu tuu, Umesema anataka kazi ya udereva lakini haujatuambia
1)qualification ya kijana, jee ana cheti cha veta,
2)driving licence na hiyo licence ina madaraja mangapi,
3)Haujaweka mawasiliano
Hebu weka hizo info nuhimu kwenye hilo tangazo lako ,tuje kulisoma tena upya
Halmashauri za wilaya zimetangaza ajira hizo hebu tafuta ajira portalHabari nina kijana (wa kiume) anatafuta kazi ya udereva,
Kumuendesha mtu,
Kiongozi,
Gari la shule, taasisi, kampuni n.k
Kwa aliye na nafasi ya kazi please!
TangaYuko wapi...
kwahiyo anadaraja A mpaka GAnavyo vyote mkuu kama una nafasi nikuunganishe na kijana mkuu
Aiss...umenivuruga hats sijaelewa...ngoja wenye A wajeKAZIYA DEREVA UTAIWEZA HII HAPA
Idadi ya WATOTO WA VIONGOZI (MAWAZILI). ANTHONY MAVUNDE (2), ASHATU KACHWAMBA KIJAJI (2), JERRY SILAA (1), INNOCENT LUGHA BASHUNGWA (4). - FUATILIA KIONGOZI (WAZIRI) ASIYE NA MKE/WATOTO KUPITIA HOTUBA ZAO ZA MWAKA 2024/25 AKUPE KAZI.
Aksante mheshimiwa siku hizi ndio mbinu zetu za kuanzisha scip za muvi ya Mjamaa
Mjamaa hajui kuongea
Mjamaa haeleweki
Mjamaa hana mwanamke
Mjamaa hamiliki kitu
Mjamaa anaomgea sana
Mjamaa hana time
Mjamaa hana Nyumba
Mjamaa anajenga Gorofa
Mjamaa anakunywa sana Bia
Mjamaa hajui kazi
Mjamaa ni kazi
Mjamaa hana umeme
Mjamaa ni mwembamba
Mjamaa kaezeka kwa Bati
Mjamaa ni mvamizi wa viwanja
Mjamaa hana Bar
Mjamaa hadhamini kazi
Mjamaa hana mapenzi
Mjamaa halei mtoto
Mjamaa hana Akili
Mjamaa hajui kuendesha Gari
Mjamaa hana Gari
Mjamaa hajielewi
Wimbo mzuri huu 2025 nitaingia Bungeni kwa kupitia Nyimbo na Umaarufu wa JF������������
Mjamaa ana Ndugu
Mjamaa hana kesi
Mjamaa kabambikiwa kesi ya Undugu
Mjamaa haudhulii mazishi
Mjamaa hana Gereji
Mjamaa hafuatilii
Mjamaa Hajui Utaratibu
Mjamaa hajui viongozi
Mjamaa kaachana na mkewe
Mjamaa hafuatilii mafundisho ya dini
Mjamaa anapenda sana kula nyama
Mjamaa tumtafutie kazi nyingine ya kufanya hii kafanikiwa
Mjamaa hatakiwi kusoma
Mjamaa kampuni yale feki
Mjamaa kabila lake ni UKanda
Mjamaa anatakiwa kujitoa mhanga
Mjamaa hana macho
Mjamaa ukimwelekeza haelewi
Mjamaa hana familia
Mjamaa kaoa kabila lingine kaacha mademu wa kabila lake
Mjamaa kaja kutoa hela kwa wakala
Mjamaa kaja kununua mboga mboja sokoni
Mjamaa kaingia kilabuni kunywa supu
Mjamaa tumchunguze atatuletea matatizo
Kajamaa harusi yake sikuhudhuria
Kajamaa kanatokea kijijini sana
Kajamaa haka kanajidai kanajua
Haka kajamaa hakajui dunia
Haka kajamaa HAkataki kuwaachia kazi waliosoma
Haka kajamaa Hakataki kuwaachia kazi watu wanaojua kuongea
Kajamaa kalizaliwa na mwanamke
Kajamaa kalidhani kana hela
Kajamaa kanahangaika
Mjamaa Baba yake Aliuwawa
Mjamaa mama yake namjua
Mjamaa hana Wimbo hata mmoja
Kajamaa hakajawahi kuimba
Mjamaa yule hana rafiki wa jinsia tofauti
Mjamaa mke wake mzuri sana
Mjamaa mkulima sana
Mjamaa mfugaji sana
Kajamaa kanavua sana samaki
Mjamaa hana kazi.. Kuna mjamaaa mmoja ana Kazi hataki kabisa kuingiza hiyoooo GDP������������
Mjamaa hajui kutafuta mitaji������
Maana ni kazi ya yule Mjamaaaaa