anatafuta kazi ya udereva

anatafuta kazi ya udereva

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,075
Reaction score
9,263
hbr wana JF.
nina mdogo wangu anatafuta kazi ua udereva, ana driving licency class A, B & D. (lesseni mpya)
 
zumbemkuu kuna sehemu wanataka dereva ila ni kibarua kutoa gari bandarini ,sasa wanataka classE maana gari ni dizaini nyingi,anyway mwambie anitumie email gsana6@gmail.com ntamuelekeza ajaribu. Nb: hawataki mdokozi,pia malipo ni sh.elf8 kwa siku,yuko tayari nitafute fasta kazi nje nje!
 
mkuu ntamwambia akutumie email, asante sana mkuu, magari yote anaendesha coz alikuwa anaendesha fuso huko kigoma thou hakuwa na leseni, sasa wkt wakufanya mchakato wa kutafuta leseni ndo kukatokea makosa ya kiufundi wkt wa mchakato ndo maana akapata D.
 
Back
Top Bottom