Anatafuta kazi, yupo Kigoma

Anatafuta kazi, yupo Kigoma

KIKI CORAL

Senior Member
Joined
May 10, 2023
Posts
183
Reaction score
313
Hello,

Kuna mdogo wangu wa kiume yupo Kigoma anatafuta kazi yoyote iwe ya kuuza duka, kusimamia lodge au bar, kusimamia mashamba ama miradi, stationary n.k

Ana elimu ya kidato cha 4 ila pia amesomea masuala ya marketing level ya cheti, ni mpambanaji sana.

Ana uzoefu wa kutumia computer na kufanya matengenezo madogo madogo maana pia alisomea IT kidogo.

Kama atapata Kigoma, ama Mikoa ya karibu atashukuru.
 
Back
Top Bottom