Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,987
- 6,682
sasa huzo koo za kiarabu na kihindi zinavyokuwaga na ubaguzi na watu weusi itakuwaje hapo?!!Yeye kasoma chuo cha kiislamu ila baba yake muhindi mama yake muharabu
yeye mwenyewe mzaramo yani black ndiyo maana anajuwa kiarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app