Goodluck Joel
Member
- Oct 16, 2015
- 40
- 9
Atatumiwa kwa yule alonipm APO itakuwa umebugi weye kiongozi.Hapo umebugi maybe ungetuma picha tukamsaminisha kabla ya kufanya maamuz
Ooh ucjali na sio Kama hauna bahati mr wa singida ila sifa alizochagua ni mikoa iyo. Hata Kama sio mzaliwa wa mikoa iyo ila awe Ana makazi sehemu iyo.Wa Singida sina bahati mimi,naomba tuwe marafiki tu dada wakati unatafuta mume,vigezo vyote nipo sawa ila tatizo nipo mkoani
Iyoo bidhaa nahisi haijadhibitishwa na TBS haiezekani unatangaza biashara afu bidhaa hatuionAtatumiwa kwa yule alonipm APO itakuwa umebugi weye kiongozi.
Awe muislam samahan hapo kiongozi sikuweza kusema nlisahau.Inabidi awe dini gani au hauna ubaguzi
Yah ni kweli lakin pia si unajua watu wengine tunakua na masihara Sana hata Kama Jambo ni la serious lakin mtu atalichukulia ni makuzi na ndo inatokea mvutano Kati ya pande mbili.Sawa.... Lakini si wajua kuwa unapokuwa kwenye utafutaji unatakiwa kuwa mvumilivu... Hasa maneno kutoka upande wa pili
Hapo itakuwa wewe umebugi nimesema alokua tayar anipmHapo umebugi maybe ungetuma picha tukamsaminisha kabla ya kufanya maamuz
Haya mkuu tumtakie utaftaji mwemaAwe muislam samahan hapo kiongozi sikuweza kusema nlisahau.
Haya maandishi yako yamenikumbusha rafiki yangu anaeishi hivyoInaonyesha wewe bado unakaa kwa shemeji yako ukisaidia kupiga deki na kuosha vyombo Yan nikula kulala naweza sema na ndo Mana waandika utumbo utumbo muda wote. Mwanaume rijal,mtanashat,msomi na anaejitambua hawezi kuandika ujinga hata siku moja hata ushauri au maoni anaweza toa lakin wewe ni pungaaa kabisaa[emoji14] [emoji14] endelea kumuangalia dada ako na shemeji yako wakiwa wanaenda kuoga. Nyambisi weee[emoji57] [emoji57]
Anaishije kiongozi? Ila mtaniwia radhi wakuu mnaojielewa umu [emoji120] Mana Kuna watu wengine wanakua wanakufosi kufanya usolitaka Kama uyu. Sio lazima kuweka comment.Haya maandishi yako yamenikumbusha rafiki yangu anaeishi hivyo
MmhAah jamani Sauda beautiful,dar na Zanzibar tu!wanakula urojo hao mahogo Yao si strong.Tupe nafasi wa huku bara ndani huku utaenjoy.
Kweli jamani my beautiful.Usibane tu huko.Achia hadi huku
Sawa.. ila jaribu kuchukua kile kilicho cha serious na uache kile kilicho cha utani ili upate kufikia lengo...Yah ni kweli lakin pia si unajua watu wengine tunakua na masihara Sana hata Kama Jambo ni la serious lakin mtu atalichukulia ni makuzi na ndo inatokea mvutano Kati ya pande mbili.
Awe MuislamNi msichana wa miaka 25 mwenye maadili mema anatafuta mume kuanzia umri miaka 30-45. Mwenye hofu na mungu na mwenye maadili mema awe anaishi dar au Zanzibar alietayari pm.
Kama hivyo tu, anakaa na shemela na dadaAnaishije kiongozi? Ila mtaniwia radhi wakuu mnaojielewa umu [emoji120] Mana Kuna watu wengine wanakua wanakufosi kufanya usolitaka Kama uyu. Sio lazima kuweka comment.
NdioAwe Muislam