Anatafuta mume

Anatafuta mume

Status
Not open for further replies.
Wa Singida sina bahati mimi,naomba tuwe marafiki tu dada wakati unatafuta mume,vigezo vyote nipo sawa ila tatizo nipo mkoani
Ooh ucjali na sio Kama hauna bahati mr wa singida ila sifa alizochagua ni mikoa iyo. Hata Kama sio mzaliwa wa mikoa iyo ila awe Ana makazi sehemu iyo.
 
Atatumiwa kwa yule alonipm APO itakuwa umebugi weye kiongozi.
Iyoo bidhaa nahisi haijadhibitishwa na TBS haiezekani unatangaza biashara afu bidhaa hatuion
Afu mwanamke hamtafuti mwanaume hyo haipo duniani [emoji3][emoji3][emoji16]nahisi huyo atakuwa n bibi chipukizi na hata period haingii
 
Sawa.... Lakini si wajua kuwa unapokuwa kwenye utafutaji unatakiwa kuwa mvumilivu... Hasa maneno kutoka upande wa pili
Yah ni kweli lakin pia si unajua watu wengine tunakua na masihara Sana hata Kama Jambo ni la serious lakin mtu atalichukulia ni makuzi na ndo inatokea mvutano Kati ya pande mbili.
 
Inaonyesha wewe bado unakaa kwa shemeji yako ukisaidia kupiga deki na kuosha vyombo Yan nikula kulala naweza sema na ndo Mana waandika utumbo utumbo muda wote. Mwanaume rijal,mtanashat,msomi na anaejitambua hawezi kuandika ujinga hata siku moja hata ushauri au maoni anaweza toa lakin wewe ni pungaaa kabisaa[emoji14] [emoji14] endelea kumuangalia dada ako na shemeji yako wakiwa wanaenda kuoga. Nyambisi weee[emoji57] [emoji57]
Haya maandishi yako yamenikumbusha rafiki yangu anaeishi hivyo
 
Haya maandishi yako yamenikumbusha rafiki yangu anaeishi hivyo
Anaishije kiongozi? Ila mtaniwia radhi wakuu mnaojielewa umu [emoji120] Mana Kuna watu wengine wanakua wanakufosi kufanya usolitaka Kama uyu. Sio lazima kuweka comment.
 
Aah jamani Sauda beautiful,dar na Zanzibar tu!wanakula urojo hao mahogo Yao si strong.Tupe nafasi wa huku bara ndani huku utaenjoy.
 
Yah ni kweli lakin pia si unajua watu wengine tunakua na masihara Sana hata Kama Jambo ni la serious lakin mtu atalichukulia ni makuzi na ndo inatokea mvutano Kati ya pande mbili.
Sawa.. ila jaribu kuchukua kile kilicho cha serious na uache kile kilicho cha utani ili upate kufikia lengo...

"..IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""

Hivyo jitahidi piano yako isiwe nje ya tune...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom