Anatafuta mume

Status
Not open for further replies.
Ni msichana wa miaka 25 mwenye maadili mema anatafuta mume kuanzia umri miaka 30-45. Mwenye hofu na mungu na mwenye maadili mema awe anaishi dar au Zanzibar alietayari pm.
Na inavyoonekana wewe wa visiwani hebu ungepiga picha kalio lipo,sio naingia kichwakichwa vitako kama dereva wa mwendo kasi.
 
mm nataka mke wa pili nipo tunguu znz
 
Huyu candidate hataki kuwa mke wa pili kabla hatujafunga safari ya kwenda PM mbona sisi watu wa Unguja kwa umri huo hatukosi wake kuanzia 2 kwenda mbele.
Tukikosa sifa tutamuombea pia hata dua apate hitajio lake .
 
Hata akiwa wa nne Hana shida ipo ndani ya din yetu kikubwa jinsi ya kuwapa taarifa wake zako na kufata yote dini
 
MashaAllah, huyo anahitaji kweli mume tena awe muumini kwani anahitaji malipo ya uchaMungu.
 
Vigezo ninavyo karibu Pm kama hutojali ila nipo mkoani
 
Ni msichana wa miaka 25 mwenye maadili mema anatafuta mume kuanzia umri miaka 30-45. Mwenye hofu na mungu na mwenye maadili mema awe anaishi dar au Zanzibar alietayari pm.
Siku akibadili gia angani ya Mikoani unijulishe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…